Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:smash:Business Man wa Ukweli
atakua lini huyu jamaa ,limwili na mambo yake kama mbingu na ardhi alitakiwa kuwa na wajukuu na nkukoment mada za akili hahahahahahahahah
Huyo dada sidhani kama ana akili nzuri....
Labda ndo wale ambao wapo desperate na ndoa, anawaza umri umeenda akaona bora alichague hilo koroma...walau na yeye aweke heshima mjini...!
Sio heshima ni kujitia aibu tu,heshima inakuja pale unapoolewa na mwanaume anayeheshimika....
uzee mwisho kibaigwa ukifika Dar kila ntu haniii