Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mim huyu baba ananishangaza...kichambo alichooga juzi hakijamtosha....misifa hii daah
Huwa nashindwa kumshangaa huyu jamaa...umri ,personality na anachoongea haviendani kabisa!!! nafikiri ali skip somewhere kwenye ukuaji wake manake anachofanya ni mambo ya 20's .....au umekulia nje mkuu,then yakakupita ???unatuaibisha wakubwa wenzako!!!atakua lini huyu jamaa ,limwili na mambo yake kama mbingu na ardhi alitakiwa kuwa na wajukuu na nkukoment mada za akili hahahahahahahahah
mashati anayovaa le mutuz unaweza ukaifunika toyota starlet isionekane kwa jinsi yalivyo makubwa
Mtu Babu Kama Le Mutuz Hakupaswa Kuandika Lugha Ya Kihuni Kama Hiyo.
Acha wivu baharia unataka awe na mwandiko gani? U know kama vipi kwendraaaaa!!