Alafu cha kushangaza kamuacha muhusika kakimbilia kwa mtu asiye na kosa...mbona dougiemasta15 kamwacha
- Salute man that wasap U know umemuona my baby U know hahahahahahaha I love it!!, afu amerudi Chuo kufanya Masters eti hapa wangapi wanazo au ni balaha bla bala tu hapa hahahaha
Le Mutuz
what have u gained?? kwa kumuweka MATIKIBOKOYAO ndani????? r u not ashamed of urself??? never thought kama una shallow brain to this extent jamani???? yale ni mambo ya kike tena full utoto!! a disgarace to all men in this world!
Ha ha ha ha haaaaaaaa! Ninapokupendea ndio hapo tu! Hata watu waponde vipi we upo tu. Kweli una moo wa chuma.
Du we mzee kiboko hukosagi majibu.
Siku hizi ameamua apeleke watu polisi ili apate picha za kuweka kwenye blogu yake,msimlaumu sana ni uzee tu unamjia vibaya.
what have u gained?? kwa kumuweka MATIKIBOKOYAO ndani????? r u not ashamed of urself??? never thought kama una shallow brain to this extent jamani???? yale ni mambo ya kike tena full utoto!! a disgarace to all men in this world!
Alafu cha kushangaza kamuacha muhusika kakimbilia kwa mtu asiye na kosa...mbona dougiemasta15 kamwacha
Walimkosa dogy
this is very trueeee! Couldnt have added anything more!! He is just sooooo stupid!~ i have never seen a stupid guy like him ever since! Puuuuuuuuuu
Nilidhani ni mimi tu ndie niliyehisi huyu jamaa ana tatizo
Mambo ya kike kuyavalia kimini na kuyafungia kibwebwe
Hii ni zaidi ya cheap publicity
Bado sijamsoma huyu mtu mzima mwenzangu
- hahahahahahaa le mburulazzzz umemuona le mbebezz u know le mwanyazzz U know hahahahahahah...le mbebezz with Super brain U know
Le Mutuz
- hahahahaha wewe utakuwa ni mwanaume mwenye tabia za kike sasa unadhani ni kila mtu kama wewe, yaaani unasema Sheria za Tanzania zimeoza kiasi hicho kwamba unaweza kuamka na kumuweka mtu ndani just like that lazima utakuwa ni mwanaume mwenye tabia za kike maana hakuna mwanaume anaweza kupayuka like this U know
Le Mutuz
Hahahahah
Yaani umekosea balaa, sijui ni kwa kuwa umekariri tu hayo maandishi na kuyabandika?
Ila jifanyie tathmini
Bora mie mwanaume mwenye tabia za kike kuliko wewe tabia zako husomeki jinsia
Maandishi yako yanakuelezea zaidi ya ulivyo
Kweli kuzaa si kupata
Mchana mwema
Walimkosa dogy
Nadhani wewe mzee unatakiwa kuingia kwenye kitabu cha Guiness maana vimbwanga vyako ni too much tena unawabemenda mabinti hao.
Nilidhani ni mimi tu ndie niliyehisi huyu jamaa ana tatizo
Mambo ya kike kuyavalia kimini na kuyafungia kibwebwe
Hii ni zaidi ya cheap publicity
Bado sijamsoma huyu mtu mzima mwenzangu
Hahahahah
Yaani umekosea balaa, sijui ni kwa kuwa umekariri tu hayo maandishi na kuyabandika?
Ila jifanyie tathmini
Bora mie mwanaume mwenye tabia za kike kuliko wewe tabia zako husomeki jinsia
Maandishi yako yanakuelezea zaidi ya ulivyo
Kweli kuzaa si kupata
Mchana mwema
- WEWE wacha hizi twende Mwanza kwenye Insta Party una lia lia sana huku tuliza boli kama unayolewa u know, hahahahahahahahahaha U know umemuona le mbebezzz U know
Le Mutuz
Unamtukanaaa le bilioneaaaaaaa weweee
Mabebez wa kweli watakuwepo kama waliokuwepo Dar .
- Na wewe get life kazi kulala hapa na uzushi tu na umbeya U know hahahahaha
Le Mutuz
Hahahahah...na wew ni wa enzi za ukoloni pia...🙄