Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
- Salute man that wasap U know umemuona my baby U know hahahahahahaha I love it!!, afu amerudi Chuo kufanya Masters eti hapa wangapi wanazo au ni balaha bla bala tu hapa hahahaha

Le Mutuz

Ha ha ha ha haaaaaaaa! Ninapokupendea ndio hapo tu! Hata watu waponde vipi we upo tu. Kweli una moo wa chuma.
 
what have u gained?? kwa kumuweka MATIKIBOKOYAO ndani????? r u not ashamed of urself??? never thought kama una shallow brain to this extent jamani???? yale ni mambo ya kike tena full utoto!! a disgarace to all men in this world!

- hahahahahahahahah umenichekesha sana well mimi naweza kumuweka mtu ndani ina maana na wewe unaweza kumuweka mtu ndani Sheria ya Tanzania ndivyo inavyosema kwamba wewe unaweza ukaamua tu na kumuweka mtu ndani is that so? umenichekesha sana by the way kwani wewe ni nani kwamba usiponipenda maisha yangu yatasimama? hahaha who are you? hahahahaha

LE Mutuz
 
Ha ha ha ha haaaaaaaa! Ninapokupendea ndio hapo tu! Hata watu waponde vipi we upo tu. Kweli una moo wa chuma.

- Kumbe ulikuwa hujui kwamba hapa tuna tatizo kubwa la Elimu sasa tukiwaacha bila kuwaelemisha na mtu nina Degree 3 nitapata dhambi kwa Mungu, hahahahahahahahaha U know, lakini umemuona baby ake u know anatishazzzz U know

Le Mutuz
 
Nilidhani ni mimi tu ndie niliyehisi huyu jamaa ana tatizo

Mambo ya kike kuyavalia kimini na kuyafungia kibwebwe

Hii ni zaidi ya cheap publicity

Bado sijamsoma huyu mtu mzima mwenzangu

Siku hizi ameamua apeleke watu polisi ili apate picha za kuweka kwenye blogu yake,msimlaumu sana ni uzee tu unamjia vibaya.

what have u gained?? kwa kumuweka MATIKIBOKOYAO ndani????? r u not ashamed of urself??? never thought kama una shallow brain to this extent jamani???? yale ni mambo ya kike tena full utoto!! a disgarace to all men in this world!

Alafu cha kushangaza kamuacha muhusika kakimbilia kwa mtu asiye na kosa...mbona dougiemasta15 kamwacha

Walimkosa dogy
 
this is very trueeee! Couldnt have added anything more!! He is just sooooo stupid!~ i have never seen a stupid guy like him ever since! Puuuuuuuuuu

- Ndio tabia ya walevi kuamini wengine wote ni walevi kama yeye so you are saying you are stupid? hahahahahahahah I mean you are not stupid what waste your time na the stupid if you are not one yourself? hahahahahah le mburulazzz Stupid U know hahahaha

Le Mutuz
 
Nilidhani ni mimi tu ndie niliyehisi huyu jamaa ana tatizo

Mambo ya kike kuyavalia kimini na kuyafungia kibwebwe

Hii ni zaidi ya cheap publicity

Bado sijamsoma huyu mtu mzima mwenzangu

- hahahahaha wewe utakuwa ni mwanaume mwenye tabia za kike sasa unadhani ni kila mtu kama wewe, yaaani unasema Sheria za Tanzania zimeoza kiasi hicho kwamba unaweza kuamka na kumuweka mtu ndani just like that lazima utakuwa ni mwanaume mwenye tabia za kike maana hakuna mwanaume anaweza kupayuka like this U know

Le Mutuz
 
- hahahahahahaa le mburulazzzz umemuona le mbebezz u know le mwanyazzz U know hahahahahahah...le mbebezz with Super brain U know

Le Mutuz

Nadhani wewe mzee unatakiwa kuingia kwenye kitabu cha Guiness maana vimbwanga vyako ni too much tena unawabemenda mabinti hao.
 
Hahahahah

Yaani umekosea balaa, sijui ni kwa kuwa umekariri tu hayo maandishi na kuyabandika?

Ila jifanyie tathmini

Bora mie mwanaume mwenye tabia za kike kuliko wewe tabia zako husomeki jinsia

Maandishi yako yanakuelezea zaidi ya ulivyo

Kweli kuzaa si kupata

Mchana mwema

- hahahahaha wewe utakuwa ni mwanaume mwenye tabia za kike sasa unadhani ni kila mtu kama wewe, yaaani unasema Sheria za Tanzania zimeoza kiasi hicho kwamba unaweza kuamka na kumuweka mtu ndani just like that lazima utakuwa ni mwanaume mwenye tabia za kike maana hakuna mwanaume anaweza kupayuka like this U know

Le Mutuz
 
Hahahahah

Yaani umekosea balaa, sijui ni kwa kuwa umekariri tu hayo maandishi na kuyabandika?

Ila jifanyie tathmini

Bora mie mwanaume mwenye tabia za kike kuliko wewe tabia zako husomeki jinsia

Maandishi yako yanakuelezea zaidi ya ulivyo

Kweli kuzaa si kupata

Mchana mwema

Unamtukanaaa le bilioneaaaaaaa weweee
 
Nadhani wewe mzee unatakiwa kuingia kwenye kitabu cha Guiness maana vimbwanga vyako ni too much tena unawabemenda mabinti hao.

- WEWE wacha hizi twende Mwanza kwenye Insta Party una lia lia sana huku tuliza boli kama unayolewa u know, hahahahahahahahahaha U know umemuona le mbebezzz U know

Le Mutuz
 
Nilidhani ni mimi tu ndie niliyehisi huyu jamaa ana tatizo

Mambo ya kike kuyavalia kimini na kuyafungia kibwebwe

Hii ni zaidi ya cheap publicity

Bado sijamsoma huyu mtu mzima mwenzangu

Hahahahah...na wew ni wa enzi za ukoloni pia...🙄
 
Hahahahah

Yaani umekosea balaa, sijui ni kwa kuwa umekariri tu hayo maandishi na kuyabandika?

Ila jifanyie tathmini

Bora mie mwanaume mwenye tabia za kike kuliko wewe tabia zako husomeki jinsia

Maandishi yako yanakuelezea zaidi ya ulivyo

Kweli kuzaa si kupata

Mchana mwema

- Nonsense twende MWanza kwenye Insta Party wacha kulia lia for nothing U know waoneee huruma wazazi wako kwanza kuzaa mtoto mwenye akili kama yako ya kuja JF na kuanza kushambulia watu asiowajua kwa majina ya bandia huoni ni hasara kubwa sana kwa wazazi wako halafu who cares na your kwi kwizzz get life U know ungekuwa na life usingekuwa na huu muda U know hahahahahaha

Le Mutuz
 
- WEWE wacha hizi twende Mwanza kwenye Insta Party una lia lia sana huku tuliza boli kama unayolewa u know, hahahahahahahahahaha U know umemuona le mbebezzz U know

Le Mutuz

Mabebez wa kweli watakuwepo kama waliokuwepo Dar .
 
- Na wewe get life kazi kulala hapa na uzushi tu na umbeya U know hahahahaha

Le Mutuz

Si ndio maana tupo wote na wewe umbeaniii,nataka nikuchangie harusii ile ya uwanja wa taifa u know hhhhhaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom