Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.

Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno haya Hapa Chini:




cc: sokwe
 
Last edited by a moderator:
watu wengine bhana... kwanini mnataka maisha mnayoish nyinyi au style ya maisha ya baba zenu na wajomba zenu ndiyo iwe ndo staili ya kila mtu? Kama Le Mutuz ameamua kuishi maisha ya 20's hayo ni maisha yake na kama wewe kijana wa miaka 30 unaishi kama mbabu wa miaka 60, nayo ni maisha yako na usitake kila mmoja aishi kama vile mnavyoishi nyinyi au mnavyopenda aishi! As far as sijawahi kumuoa Le Mutuz amepiga picha akiwa na chupi peke yake kisha akaiweka kwenye instagram then ningewaelewa lakini kwavile tu life style yake na mambo yake ni ya 20's guys kwangu hilo si tatizo coz' ni maisha yake ambayo kamwe hayawezi kuwa yenu na yenu kamwe hayawezi kuwa yake! Why should anyone care if I always talk nonsense? Kama unadhani someone is stupid, always act and talk nonsense, then ignore him/her and move own with your own life that you believe is perfect!
 

Shati la Le Mutuzi linatosha kufunika starlet.
 
hahahahahh,ila lemutuz hana noma na mtu kwa kweli,Mungu ampe maisha marefu
You're very right... and what I like more about dude, he's himself doing what he believes he's right! Jamaa jinsi anavyoshambuliwa hapa JF lakini bado hajakoma kuwa friendly and fun... ingawaje kuna watu wanasema ni yeye ndie anaanza kutukana, lakini matusi ya Le Mutuz ni chini ya 5% kwa ukali as compared to yale anayopewa yeye! By the way, kama ni matusi, tusi lake kuu ni "mburullaz" na kweli wengi anaowaita mburullaz ni mburullaz!
 
Hahahahahahahaha...uwiiiiii hiii post yako imeniua leo...karudishe tu we bado mtoto

Usichekee...haya ni maajabu ya dunia, we mtu kazaliwa enzi ya mkoloni huko halafu bado yupo Umoja wa vijana...si hatari hii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…