Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
hahahahahh,ila lemutuz hana noma na mtu kwa kweli,Mungu ampe maisha marefu

- Yaaani we mbebezz nakupenda mpaka nasikia kizungu zungu U know, ona sasa hii thread imeshafikia Page 20 sikujua kama nimekuwa that big of Celebrity I mean The King of All Bongo Social Media Network U know!!

Le Mutuz
 

mkuu msamehe bure yey anafikiri wote ni saiz yake
 
- Yaaani we mbebezz nakupenda mpaka nasikia kizungu zungu U know, ona sasa hii thread imeshafikia Page 20 sikujua kama nimekuwa that big of Celebrity I mean The King of All Bongo Social Media Network U know!!

Le Mutuz

Mkuu eti shati lako linatosha kufunika Starlet?
 
mi ngoja nikae mbali ctaki damu zinirukie
By fisi 2

Le Mutuz nilithibitishiwa ni shoga jamani ndo maana Hawezi oa. Naomba ajitangaze tu sababu Siku hizi hatuwanyanyapai tena. Le Mutuz are u not gay?

- Fisi ni kawaida ya mashoga kujitangaza kwa ujanja sana kama ulivyofanya hapa maana haiwezekani watu wanaongelea mengine kabisa uka;leta ushoga ina maana moja tu kwamba unahusika nao, hahahahaha sasa umeona kujitangaza utumie mada isyohusu pole sana hapa tunajadili akili kubwa sio kujitangaza biashara zako hahahahahaa yaani kumbe ndio mambo yako duh!!

Le Big Show
 
Mkuu eti shati lako linatosha kufunika Starlet?

- Ni lazima una hilo shati mkuu ndio maana umeweza kujua maana umejuaje haya mkuu hahahahahahaha yaani yale yale wewe mlevi unaamini wengine wote walevi kama wewe inachekesha sana, hahahahaaha yaani ninawatesa hivi poleni sana!! I mean kila siku mnajaribu kutafuta maneno mapya lakini mnaishia kujishusha hadhi wenyewe next on line sasa ni Mbeya karibu sana kule mkuu!! hahahahahaha

Le Big Show
 
Le mtindiz,kumbe anapendwa sana humu JF watu hawaishi kumuongelea ameshakuwa celebrity,aisee pamoja na matusi yote
 
Le kubwa jingaz, u know ...........

Grand PA
 
Usikute mzee wake huwa anajutia usiku aliompata huyu bilionea bora hata angetumia ndom maana maana akili zake kipindi anafunga pampaz na leo hazina tofauti



Siku huyu jamaa akihamua kukua naona Tanzaniu nzima itarindima kwa ahueni fulani maana kama ni ujinga mwenzetu katuzidi.
 
Yani huyu sijui miaka yake anaihesabu kurudi nyuma...yani anajishebedua kwa mbwembwe zote eti yupo kamati kuu ya UVCCM wakati ni Age mate wa Pinda

- wewe unayehesabu kwenda mbele mbona untumia jina la bandia kushambulia watu unasema ndio akili ya kwenda mbele hiyo? Huonei huruma wazazi wako mkuu? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Kindly nitafute mkishafikia uamuzi wa kuja kufanya hiyo kitu huku.. Nina sehemu yangu nafungua itakua poa kama nikiwa mshirika wako.. I will leave my number kwa PM yako.. Le Big Show you know hahaha

of all comments this one gt me thinking there r still intelligent n productive people in Tz.....big up bro
 
BADILI TABIA umeona dougiemasta15 alivyomkimbia le super mburulazzzzzz!!!! Nimechekaaaaaaa kam kamata dougiemsta kama wewe kweli kidume!!!! Mwananmke mzima unaleta mambo ya vigodoro!!!! Mmmxxxiiieewww @w.j.malecela
 
Last edited by a moderator:
Halafu huyo mbebz mkarez mbona sura imekomaaa au macho yangu

Anaitwa Weirungu David... aka kabinti ni kadogo halafu kabangaizaji tu maskini kwenda kujibebesha majukumu kwa hilo libabu sijui lakosa vijana wa rika lake
 

Mbebiz wake umekuja eeh. Sasa mbona umepanic?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…