Anaitwa Weirungu David... aka kabinti ni kadogo halafu kabangaizaji tu maskini kwenda kujibebesha majukumu kwa hilo libabu sijui lakosa vijana wa rika lake
Maskin anasikitisha huyo mrembo
Wewe wa kwako yukoje?
Nikimpata ntamuweka hapa na ntakuita wew uwe wa kwanza kumuona...wew wako yuko api😕
Yupo humu unataka some quick intro ....
Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno haya Hapa Chini: