William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hongera Le Big Show Super Billione U know!
- Salute man that wasap U know umemuona my baby U know hahahahahahaha I love it!!, afu amerudi Chuo kufanya Masters eti hapa wangapi wanazo au ni balaha bla bala tu hapa hahahaha
Le Mutuz
Hahaaha kibaigwa mbona mbali sana mkuu!
atakua lini huyu jamaa ,limwili na mambo yake kama mbingu na ardhi alitakiwa kuwa na wajukuu na nkukoment mada za akili hahahahahahahahah
Uzee mwisho Vigwaza chalinze pia mbali!
Sema anapendea hizo ofa za vijisenti vya mafuta akiwa ameishiwa. Eti ananipa hela ya mafuta. Mwanaume mzima. Acha vya kuchinja.
yule mzee wa watu malecela kala hasara sijui anajisikiaje akiona watoto wa vigogo wa enzi zake walivyoelimilka na kuwa na heshima kwa jamii
u know itafika time huko mbebez wake anakoenda soma u know wajanja watamgegeda halafu u know huyo babu ndo ataonekana le mburulaz u knw
hili zee hili box kabisa
Hivi kipindi kile si vikao vya harusi vilikuwa vimeanza? Coz nakumbuka wale friends zake le mutuz ambao ni billionaires walisema harusi yote wataigharamia wao na le mutuz akasema if possible harusi itafanyikia uwanja wa taifa sijui vile?
- Nonsense yaani p[ost nzima utabiri wa waganga wa kienyeji hahahahahahaha tuliza boli U know
Le Mutuz
Mi mwenyew niliona hiyo habar nkajua kashaoa kumbe bado? Na mke mwenyew mtarajiwa ndo huyo au kashamkimbia??