Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
daah wanawake wanaingia kwe mahusiano na watu wa jabu,shame on her
 
atakua lini huyu jamaa ,limwili na mambo yake kama mbingu na ardhi alitakiwa kuwa na wajukuu na nkukoment mada za akili hahahahahahahahah

u know itafika time huko mbebez wake anakoenda soma u know wajanja watamgegeda halafu u know huyo babu ndo ataonekana le mburulaz u knw

hili zee hili box kabisa
 
Sema anapendea hizo ofa za vijisenti vya mafuta akiwa ameishiwa. Eti ananipa hela ya mafuta. Mwanaume mzima. Acha vya kuchinja.
 
yule mzee wa watu malecela kala hasara sijui anajisikiaje akiona watoto wa vigogo wa enzi zake walivyoelimilka na kuwa na heshima kwa jamii
 
Hivi huyu ndo yule aliyeweka vikao vya harusi au?ila wamefanana sana!!!!!!!!
 
Sema anapendea hizo ofa za vijisenti vya mafuta akiwa ameishiwa. Eti ananipa hela ya mafuta. Mwanaume mzima. Acha vya kuchinja.

- Mapenzi ni kusaidiana mtu wewe haiwezekani kila siku ukawa na pesa sasa ukiwa na Mebebz anayesoma Masters ya Sheria anakuongezea za mafuta sometimes U know, tuliza boli you dont pay for my life le mburulazz u know!!

Le Mutuz
 
yule mzee wa watu malecela kala hasara sijui anajisikiaje akiona watoto wa vigogo wa enzi zake walivyoelimilka na kuwa na heshima kwa jamii

- Hasara anayo baba yako kuza mtoto anayeingia kwenye mtandao kwa majina ya bandia na kutukana watu asiowajua na wenye elimu kuliko wewe for that baba yako lazima anaumwa kwa huzuni U know!!

Le Mutuz
 
u know itafika time huko mbebez wake anakoenda soma u know wajanja watamgegeda halafu u know huyo babu ndo ataonekana le mburulaz u knw

hili zee hili box kabisa

- Nonsense yaani p[ost nzima utabiri wa waganga wa kienyeji hahahahahahaha tuliza boli U know

Le Mutuz
 
Hivi kipindi kile si vikao vya harusi vilikuwa vimeanza? Coz nakumbuka wale friends zake le mutuz ambao ni billionaires walisema harusi yote wataigharamia wao na le mutuz akasema if possible harusi itafanyikia uwanja wa taifa sijui vile?

Mi mwenyew niliona hiyo habar nkajua kashaoa kumbe bado? Na mke mwenyew mtarajiwa ndo huyo au kashamkimbia??
 
- Nonsense yaani p[ost nzima utabiri wa waganga wa kienyeji hahahahahahaha tuliza boli U know

Le Mutuz

Eti kaka ile harusi ambayo kamati ya harusi ilijaa mabilionea nasikia ulikimbia na michango ya watu ndio ukafanya mtaji wa wananchi blog.naomba majibu kutoka.silence mean YES
 
Age ain't nothing is just a number.kula vyako le mutuz
 
Mi mwenyew niliona hiyo habar nkajua kashaoa kumbe bado? Na mke mwenyew mtarajiwa ndo huyo au kashamkimbia??

Uyu le mutuz ni mzee ila hawezi kukaa na mwanamke kwa sababu hawezi majukumu,ana vielement vya umarioo....Hapo alipo alishaoa akakimbia child support kiwanja , watoto wake wanatunzwa na mama yao usa yeye yupo anakeshakesha kama kijana jitu lina miaka 58. we mpk mbutta nanga kamkataa ,Hasara sana !
 
Hivi kipindi kile si vikao vya harusi vilikuwa vimeanza? Coz nakumbuka wale friends zake le mutuz ambao ni billionaires walisema harusi yote wataigharamia wao na le mutuz akasema if possible harusi itafanyikia uwanja wa taifa sijui vile?

Kwani ndio huyu? Mbona hawafanani na huyo aliyefanyiwa vikao?
 
Ni bora kutumia condom kuepuka watoto bila mpangilio.
 
- Salute man that wasap U know umemuona my baby U know hahahahahahaha I love it!!, afu amerudi Chuo kufanya Masters eti hapa wangapi wanazo au ni balaha bla bala tu hapa hahahaha

Le Mutuz

Elimu kwanza mwache apige shule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom