Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Naona you know kama mia hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbaba unaumwa!Na mzee Jumanne keshazeeka hawezi tena kukusaidia ubadilike.Na Lowassa akiingia madarakani utakoma
miaka ile hakukuwa na kondomUsikute mzee wake huwa anajutia usiku aliompata huyu bilionea bora hata angetumia ndom maana maana akili zake kipindi anafunga pampaz na leo hazina tofauti
miaka ile hakukuwa na kondom
- Itakuwa ndio makosa ya baba yako hayo maana ulijuaje mkuu si alikuambia au? hahahahahahaha kumbe anajutia kukuzaa duh!! pole sana hahahahaha
Le Mutuz
u know amemtema kitambo u know le matuz
Huyo jamaa naye hakui, mambo anayofanya huwa hayaendani na umri alionao yuko hovyo sana ndo maana wanajamvi wanam-mind, yani mzee Joni hapo hana mtoto hapo kala hasara tusaluti kwako .. ingawa kwanini huyu mchizi akifanya kitu chochote watu wanamind sana .. au kwasababu mtoto wa mheshimiwa ..
- Jumamosi nimealikuwa na Chuo cha Waandishi wa Habari DSJ mbona hawakukualika wewe mwenye akili sana na unaheshimika sana na jamii le mburulazzz wewe nyamaza unazidi kuandika ujinga halafu unanichekesha sana hahahahahah eti vyeti vinaokotwa wewe mbona hujaenda na wewe kuviokota yaani unanichekesha sana U know! hahahahahahaha
Le Mutuz
Jamaa aligombeaga ubunge EAC aisee
Shika adabu basi kima wewe zee zima unajishekesha kimamba mamba Kama dada bwana
This is more than sad seeing a grown up man acting like a sucking baby!!, Such a shame!!...
Huyo jamaa naye hakui, mambo anayofanya huwa hayaendani na umri alionao yuko hovyo sana ndo maana wanajamvi wanam-mind, yani mzee Joni hapo hana mtoto hapo kala hasara tu
Watu Kama hawa ndo wanashusha hadhi ya ukubwa. Jitu zima lakini linafanya uvulana.
Ova