Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
kwa nini tusianzishe thread moja ya Le Mutuz?
 
We mbaba unaumwa!Na mzee Jumanne keshazeeka hawezi tena kukusaidia ubadilike.Na Lowassa akiingia madarakani utakoma

- hahahahahahahah ona ulikoanzia mpaka ulipofikia sasa Lowassa anatokea wapi kwenye mjadala wa Le Mutuz Big Show? I mean ndio maana ninasema mmezoea kutukana watu wasioweza kujibu sasa mikjibiwa unapanic umerusha matusi weee, umerusha majina ya wasiohusika na bado unazidi kuwaleta wasiohusika Lowassa anahusika vipi na hii thread wewe mburulazzz? hahahahah

- I mean wewe huumwi sasa unapotezaje muda wako na baba anayeumwa? hahahahahahahah

Le Mutuz
 
- Itakuwa ndio makosa ya baba yako hayo maana ulijuaje mkuu si alikuambia au? hahahahahahaha kumbe anajutia kukuzaa duh!! pole sana hahahahaha

Le Mutuz

Shika adabu basi kima wewe zee zima unajishekesha kimamba mamba Kama dada bwana
 
saluti kwako .. ingawa kwanini huyu mchizi akifanya kitu chochote watu wanamind sana .. au kwasababu mtoto wa mheshimiwa ..
Huyo jamaa naye hakui, mambo anayofanya huwa hayaendani na umri alionao yuko hovyo sana ndo maana wanajamvi wanam-mind, yani mzee Joni hapo hana mtoto hapo kala hasara tu
 
Watu Kama hawa ndo wanashusha hadhi ya ukubwa. Jitu zima lakini linafanya uvulana.
Ova
 

hahahahaha i see , dunia ina mambo hii.. nimecheka sana
 
This is more than sad seeing a grown up man acting like a sucking baby!!, Such a shame!!...
 
Shika adabu basi kima wewe zee zima unajishekesha kimamba mamba Kama dada bwana

- hahahahaha kumbe wewe ni dada ok unazidi kujivua nguo mwenyewe ndio matatizo ya kushindani na mtu anayekuzidi elimu nakupa kamba ujinyonge nayo si unaona ulikoanzia mpaka sasa unajisema ni dada, endelea kujivua nguo U know hahahahaha

Le Mutuz
 
This is more than sad seeing a grown up man acting like a sucking baby!!, Such a shame!!...

- Wewe hunilipii maisha yangu kawahukumu unaowalipia kama wapo U know ok just shut the F up and enjoy the show U know Le Mutuz Big Show

Le Big Show
 
lakini mchumba wa le mutuz ni mzuri sans, halaf ana akili sana. hongera le mutuz kwa kupata mbebe wa ukwel
 
Huyo jamaa naye hakui, mambo anayofanya huwa hayaendani na umri alionao yuko hovyo sana ndo maana wanajamvi wanam-mind, yani mzee Joni hapo hana mtoto hapo kala hasara tu

- Wewe tuliza boli kama wewe mtoto mchanga nenda kanyonye maziwa hapa JF ni mahali pa watuwazima U know hahahahahaha

Le Big Show
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…