William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
lakini mchumba wa le mutuz ni mzuri sans, halaf ana akili sana. hongera le mutuz kwa kupata mbebe wa ukwel
- Wewe hunilipii maisha yangu kawahukumu unaowalipia kama wapo U know ok just shut the F up and enjoy the show U know Le Mutuz Big Show
Le Big Show
mkuu.hongera kwa kupata mbebe msomi halaf wa ukweli
- Mbaby wangu hujamuona bado cause sijamuonyesha so tuliza boli kwanza U know!!, halafu hii ni page ya 7 kuelekea ya nane kama kawaida ya Le Mutuz Big Show big Celebrity U know
Le Mutuz
- Mbaby wangu hujamuona bado cause sijamuonyesha so tuliza boli kwanza U know!!, halafu hii ni page ya 7 kuelekea ya nane kama kawaida ya Le Mutuz Big Show big Celebrity U know
Le Mutuz
Khe wafurahia page kuongezeka kwenda ya nane........
Mungu akunyime vyote ila sio upeo wa kufikiri U know
mbebe wako si ulisshamuweka kwenye blogu yako? au yule umeshampiga chini?
- Sure ana maakili ndio tabia ya ndege wenye akili huruka pamoja na mindege super mburulazzz utaiona tu hapa ilivyo data u know hahahahahaha
Le Big Show
- Mbaby wangu hujamuona bado cause sijamuonyesha so tuliza boli kwanza U know!!, halafu hii ni page ya 7 kuelekea ya nane kama kawaida ya Le Mutuz Big Show big Celebrity U know
Le Mutuz
- It means money mkuu ndio maana I love it, upeo wa kufikiri bila kuingiza pesa siuhitaji keep it mkuu sana hahahaha
Le Big Show
Nikimwangalia Hussen mwinyi, amani karume, January, riziwan, nape, Richard,fred nakuonea huruma sana na umri wako huu wa kustaafu, ata watoto anakutunzia mkeo....Aya twende page ya 8 sasa ndio ulichobakiza kujivunia. age mates wako kina Pinda wanachanja mbuga we umekuwa omba omba eti gia yako unajulikana.
- Hapana sijawahi kumuonyesha hata siku moja U know, siwezi kumuonyesha baby wangu kwenye mitandao ili iwe nini mkuu?
Le Mutuz
Nikimwangalia Hussen mwinyi, amani karume, January, riziwan, nape, Richard,fred nakuonea huruma sana na umri wako huu wa kustaafu, ata watoto anakutunzia mkeo....Aya twende page ya 8 sasa ndio ulichobakiza kujivunia. age mates wako kina Pinda wanachanja mbuga we umekuwa omba omba eti gia yako unajulikana.
page ikiongezeka kwenda ya 8 we unaingizaje pesa U know......
ok mkuu nimekupata,, vip ile mmipango ya harus ni lini mkuu?
Le mutuz una miaka mingapi??
hahahahaaaaaaaaaa Age mate kina Pinda.....umenifanya nicheke sana aiseeeeeeeeeeee