Tena wakawa wanamcheka eti mama yake anaishi kwenye nyumba mbaya!
Kuna watu wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu utadhani wanapata ujira.
Jidanganye hivyo hivyo we utajifananisha na mo ambaye ameibrand kampuni ya familia na top company in East Africa?umasikini utakumaliza wewe jamaaHuyu lemutuz anamiaka 60+ lakin uandishi wake utasema kachalii kenye miaka -25 yaani utoto mwingi anajisifu balaa.
Watoto wa kishua huwa hawakomai kiakili muda wote wanajiona watoto tu
Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye msiba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.
Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Dr kasema asisafiri; wewe hilo la ndege unalitoa wapi tena?Kwani bei ya ndege kutoka dar mpaka dodoma bei gani au mm ndo sijaelewa taarifa.
Siyo AjabuLemutuz ana daktari wake.
Mo wa tiktok? Yule anabahati tu ya maisha Mambo anayo tweet ni ya kipuuzi sana na tabia yake ya kususasusa inaashiria ni jinsi gani anaakili za kitoto japo ni tajiriJidanganye hivyo hivyo we utajifananisha na mo ambaye ameibrand kampuni ya familia na top company in East Africa?umasikini utakumaliza wewe jamaa
Oya una namba ya bintiye le mbebez ili nifanye mpango awe baba mkwe wangu?Mtoto wake wa kike le mutuz katoka majuu kuja kuzika shangazi yake. Hiyo tu ni heshima kubwa
Duh,SONGI,SONGI😂😂,hapa kweli mmemchafua kaka mkubwa.....King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.
Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.
"AlichikisemaView attachment 2126973
Kutibiwa na Dr. Janabi ni maajabu? Kwa taarifa yako mara kibao nishatibiwa viugonjwa vya kawaida kabisa na Daktari wa Rais mmoja wa nchi za Kusini mwa Afrika, sembuse Leo Mutuz mwenye tatizo kubwa la kiafya. Dr. Janabi si anatibu yeyote hata wewe muokota makopo.Lakini dr.wake ni prof.janabi ujue utabakia na majungu yko hayo
Hapo sasa nimempata. Mitandao yake huwa naifatilia pamoja na kuonekana wa maajabu ila kuna kitu fulani uwa napata kwenye lifestyle yake. Kuhusu biashara ndio sijajua kabisaAmesema mitandao sio mitindo.
Yeye si celeb,sasa hayo ndio matunda yake yaumaaru mavi
Daaah....Hivi kwa nini hawakumtaja Le-Mutuz?Amemind kutotajwa kama mtoto wa Malecela kwenye huu msiba
King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.
Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.
"AlichikisemaView attachment 2126973
🤣"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
kumbe le mutuz celeb aiseee
HahahahaaaLemutuz ana daktari wake.
Kaja kuzika shangaziMtoto wake wa kike le mutuz katoka majuu kuja kuzika shangazi yake. Hiyo tu ni heshima kubwa