Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Ana matatizo kichwani ila hakubaliani na hali yake miaka nenda rudi anaishi kwa kujipa matumaini
 
wewe le mutuz una mtoto tangia lini muweke hapa nnimuone km ni kweli!!! hata km ni kweli utatoaje mwanao wa kike asafiri na kidume??? shangazi zao hawapo??? weweeeee! mama yake alisemaje kumpa nchimbi kigoli atembee nacho???

nilishawahi kukuonya huo ujinga uache ukavuta domo...........ebu twambie Bashite yuko wapi?? au umemtosa baada ya kutoswa?? kwanza amehudhuria mazishi si swaiba wako?
 
Ni yeye anapenda sifa yuko ivo! ....umewahi sikia madaraka nyerere wewe?? au basi umewahi kunisikia mimi nasemwa semwa hovyo! au najiweka wazi kiivo!!! japo wanaiona picha yangu halisi lkn low profile!
 
Kwani na madaraka ni mtoto wa nje ya ndoa,na wewe je ulipatikana kama lemutuz?

"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."

Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi
Anauza nyanyapuza zile anazovaa na ndio hizo hizo anazifanyia mitindo
 
Kwani na madaraka ni mtoto wa nje ya ndoa,na wewe je ulipatikana kama lemutuz?
Hakuna mtoto wa ivo!!!...nje ya ndoo ni wapi na ndani ni wapi.... nikikubaliana na wewe kuwa sasa tuunganishe vikojoleo!! ndo ndoa yenyewe hiyo!! kitakachotoka hapo mtoto ndo u bin mie ndo weye!......hayo mengine ni ya Mkoloni!

Mnaenda kanisa la kikoloni!! kukutana na Yesu (mzungu) mkoloni! halafu mnafurahiiii eti !! mmefunga ndoa sijui ndoo takatifu hiyo! !na eti mtaenda mbinguni!! tena karne hii ya 22! kayesu kazungu wapi na wapi mweee!!

halafu utakuta weye ni graduant kabisaaa,,,umesoma chuo kikuu una degree saba!...una amini ndoa ya madhabahu ya kikoloni!......Naamini siku Yesu wetu akija wengi mtamkimbia hamtaamini kuwa ndo yeye!! huu humu utabaki ushahidi wangu!
 
Pole. Acha ukahaba, ndoa ina heshima yake.
 
Pole. Acha ukahaba, ndoa ina heshima yake.
Bila ukahaba jeuri ya kuwa humu huna !! ndoa hawasikii utamuuu?? km ule wa kahaba??? au umekariri shule zenu za kata hizo!!!...ndoa yako..... na ya kikoloni miti ni ile ile ??

Makahabawanalipwa adhimu wanakutunzia Bunge lenu chakavu Dodoma... kwa kutoa huduma zao..... na huyo mdingi wako anajua fika!! bisha....na muulize na una ndg pale nenda kachunguze!
 
Lemutuz anagombania urithi instagram na dada zake ikiwa baba Yao hajafariki

Wanaume msioe uzeeni mnawaletea shida watoto wenu wanaume msichepuke kuzaa huku na kule mnafanya familia zilogane, na ziwindane kutoana roho
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚chizi fresh. Kwa ule uzi wa kumpa mimba binti akapata ajali mara akatengwa na familia nzima. Kale katoto kama ulimuacha mama yake ni ka nje ya ndoa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚chizi fresh. Kwa ule uzi wa kumpa mimba binti akapata ajali mara akatengwa na familia nzima. Kale katoto kama ulimuacha mama yake ni ka nje ya ndoa
Ndani ni wapi nje ni wapi!! acha kukaririshwa kikoloni!! tena hao ndo wana akili hatare!
 
Lemutuz anagombania urithi instagram na dada zake ikiwa baba Yao hajafariki

Wanaume msioe uzeeni mnawaletea shida watoto wenu wanaume msichepuke kuzaa huku na kule mnafanya familia zilogane, na ziwindane kutoana roho

Nimekuta earlier kafuta, alimsema nani ndio anamtuma Mange kuandika Instagram?
 
Pole wa nje
Pole weye!! unae amini wa ndani kisiasa!! kumbe dingi kapigiwa na house boy!! kunako nguzo zizini faster tu kitu!!..tena wenzenu wajanja anajifanya anasuuza vyombo kuumbe kuna kajamaa kwenye makuti! kanamaliza mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…