Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
unafail wapi asee... tena Prof JanabiLemutuz ana daktari wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafail wapi asee... tena Prof JanabiLemutuz ana daktari wake.
Lemutuz ana daktari wake.
Nimemshangaa Sana mange kumsimanga na kumtolea mameno machafu ya kuwa yeyw ni mtoto wa nje ya ndoa kwamba upatikanaji wake ulitokana na ukahaba wa mama yake wakati huo huo yeye pia alipatikana kwa njia hizo hizo.
Imenishangaza Sana nadhani hayuko sawa kiakili mange
wewe le mutuz una mtoto tangia lini muweke hapa nnimuone km ni kweli!!! hata km ni kweli utatoaje mwanao wa kike asafiri na kidume??? shangazi zao hawapo??? weweeeee! mama yake alisemaje kumpa nchimbi kigoli atembee nacho???King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.
Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.
Alichokisema...
View attachment 2126973
Ni yeye anapenda sifa yuko ivo! ....umewahi sikia madaraka nyerere wewe?? au basi umewahi kunisikia mimi nasemwa semwa hovyo! au najiweka wazi kiivo!!! japo wanaiona picha yangu halisi lkn low profile!Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye msiba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.
Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Ni yeye anapenda sifa yuko ivo! ....umewahi sikia madaraka nyerere wewe?? au basi umewahi kunisikia mimi nasemwa semwa hovyo! au najiweka wazi kiivo!!! japo wanaiona picha yangu halisi lkn low profile!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani na madaraka ni mtoto wa nje ya ndoa,na wewe je ulipatikana kama lemutuz?
Anauza nyanyapuza zile anazovaa na ndio hizo hizo anazifanyia mitindo"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi
Hakuna mtoto wa ivo!!!...nje ya ndoo ni wapi na ndani ni wapi.... nikikubaliana na wewe kuwa sasa tuunganishe vikojoleo!! ndo ndoa yenyewe hiyo!! kitakachotoka hapo mtoto ndo u bin mie ndo weye!......hayo mengine ni ya Mkoloni!Kwani na madaraka ni mtoto wa nje ya ndoa,na wewe je ulipatikana kama lemutuz?
Pole. Acha ukahaba, ndoa ina heshima yake.Hakuna mtoto wa ivo!!!...nje ya ndoo ni wapi na ndani ni wapi.... nikikubaliana na wewe kuwa sasa tuunganishe vikojoleo!! ndo ndoa yenyewe hiyo!! kitakachotoka hapo mtoto ndo u bin mie ndo weye!......hayo mengine ni ya Mkoloni!
Mnaenda kanisa la kikoloni!! kukutana na Yesu (mzungu) mkoloni! halafu mnafurahiiii eti !! mmefunga ndoa sijui ndoo takatifu hiyo! !na eti mtaenda mbinguni!! tena karne hii ya 22! kayesu kazungu wapi na wapi mweee!!
halafu utakuta weye ni graduant kabisaaa,,,umesoma chuo kikuu una degree saba!...una amini ndoa ya madhabahu ya kikoloni!......Naamini siku Yesu wetu akija wengi mtamkimbia hamtaamini kuwa ndo yeye!! huu humu utabaki ushahidi wangu!
Bila ukahaba jeuri ya kuwa humu huna !! ndoa hawasikii utamuuu?? km ule wa kahaba??? au umekariri shule zenu za kata hizo!!!...ndoa yako..... na ya kikoloni miti ni ile ile ??Pole. Acha ukahaba, ndoa ina heshima yake.
Hakuna mtoto wa ivo!!!...nje ya ndoo ni wapi na ndani ni wapi.... nikikubaliana na wewe kuwa sasa tuunganishe vikojoleo!! ndo ndoa yenyewe hiyo!! kitakachotoka hapo mtoto ndo u bin mie ndo weye!......hayo mengine ni ya Mkoloni!
Mnaenda kanisa la kikoloni!! kukutana na Yesu (mzungu) mkoloni! halafu mnafurahiiii eti !! mmefunga ndoa sijui ndoo takatifu hiyo! !na eti mtaenda mbinguni!! tena karne hii ya 22! kayesu kazungu wapi na wapi mweee!!
halafu utakuta weye ni graduant kabisaaa,,,umesoma chuo kikuu una degree saba!...una amini ndoa ya madhabahu ya kikoloni!......Naamini siku Yesu wetu akija wengi mtamkimbia hamtaamini kuwa ndo yeye!! huu humu utabaki ushahidi wangu!
Ndani ni wapi nje ni wapi!! acha kukaririshwa kikoloni!! tena hao ndo wana akili hatare!😂😂😂😂😂chizi fresh. Kwa ule uzi wa kumpa mimba binti akapata ajali mara akatengwa na familia nzima. Kale katoto kama ulimuacha mama yake ni ka nje ya ndoa
Ndani ni wapi nje ni wapi!! acha kukaririshwa kikoloni!! tena hao ndo wana akili hatare!
Lemutuz anagombania urithi instagram na dada zake ikiwa baba Yao hajafariki
Wanaume msioe uzeeni mnawaletea shida watoto wenu wanaume msichepuke kuzaa huku na kule mnafanya familia zilogane, na ziwindane kutoana roho
Pole weye!! unae amini wa ndani kisiasa!! kumbe dingi kapigiwa na house boy!! kunako nguzo zizini faster tu kitu!!..tena wenzenu wajanja anajifanya anasuuza vyombo kuumbe kuna kajamaa kwenye makuti! kanamaliza mchezo!Pole wa nje