Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.

Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.


"AlichikisemaView attachment 2126973
Nje ya mada kidogo mbona Mwandiko wa Lemutuz unafanana na Mwandiko wa Bill Lugano

Hivi si mmoja kweli
 
Lakini dr.wake ni prof.janabi ujue utabakia na majungu yko hayo
Huyu Dr Janabi ukimchulia serious unaweza usitoke ndani ya nyumba na kushindia maji tu kila kitu kwake kibaya wakati binadamu umeumwa kuchukua kila kitu mwili wenyewe unachuja vibaya huyu jamaa yeye kila kitu usile sasa kulikuwa na haja gani ya kwenda msibani kusema msimchukue huyu hali yake sio nzuri kwani family yake hawajui kama anaumwa. Ukiona mtu anatumia nguvu sana ujuwe kuna walakini ila yote sio issue kubwa sana mtu kupata udhuru kawaida tu. shida hapa Dr kwenda kuomba family hapo ndio shida.
 
Na wa kwanza kumcheka na kumsimanga ndo huyo huyo leo analia kafiwa na Mama wa kambo ambaye ni Dada wa le mutuz. Sijaelewa sababu za Mwele kuacha kaka yake kudhalilishwa kiasi kile na the so called daughter
wale walikuwa wanatuta followers tu kupiga pesa
 
Huyu Dr Janabi ukimchulia serious unaweza usitoke ndani ya nyumba na kushindia maji tu kila kitu kwake kibaya wakati binadamu umeumwa kuchukua kila kitu mwili wenyewe unachuja vibaya huyu jamaa yeye kila kitu usile sasa kulikuwa na haja gani ya kwenda msibani kusema msimchukue huyu hali yake sio nzuri kwani family yake hawajui kama anaumwa. Ukiona mtu anatumia nguvu sana ujuwe kuna walakini ila yote sio issue kubwa sana mtu kupata udhuru kawaida tu. shida hapa Dr kwenda kuomba family hapo ndio shida.
Yaani binadamu wa ajabu Sana
Kwahiyo anaumwa au haumwi?
 
Kutibiwa na Dr. Janabi ni maajabu? Kwa taarifa yako mara kibao nishatibiwa viugonjwa vya kawaida kabisa na Daktari wa Rais mmoja wa nchi za Kusini mwa Afrika, sembuse Leo Mutuz mwenye tatizo kubwa la kiafya. Dr. Janabi si anatibu yeyote hata wewe muokota makopo.

Nimeuliza mitindo anafanyia wapi na biashara ni zipi ili niwe stakeholder. Nilichouliza ni majungu kwako kwa sababu akili zako hazina akili!
Jinsi gani sisi masikini tulivyo hahahaha! Kijiba Cha roho
 
Tena wakawa wanamcheka eti mama yake anaishi kwenye nyumba mbaya!

Kuna watu wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu utadhani wanapata ujira.

Wakati mwingine ni namna ya staili ya maisha yako ndio inalazimu watu kufuatilia maisha yako
 
Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye msiba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.

Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Anajiita "King of all social media bongo"

Unataka asifwatiliwe? Nye nye nyee
 
Huyu jamaa majuzi kati kabla ya mazishi alipita na gari yake akiwa ana_bang bolingo kwa sauti ya juu, nikajua tayari msiba ulishaisha. Cha ajabu nakuja kusoma gazeti naona mazishi yanafanyika jana . Sasa nimebaki kushangaa. Marehemu hajazikwa inakuwaje jamaa anakuwa kama hajali vile!?
 
20220222_211402.jpg

😂😂
 
Huyu lemutuz anamiaka 60+ lakin uandishi wake utasema kachalii kenye miaka -25 yaani utoto mwingi anajisifu balaa.
Watoto wa kishua huwa hawakomai kiakili muda wote wanajiona watoto tu
Kumbe Ni babu
 
Yaani binadamu wa ajabu Sana
Kwahiyo anaumwa au haumwi?
Anaumwa wala hilo halina ubishi sasa wewe ukiumwa si family yako wanajuwa kuwa ndugu yetu mgonjwa sasa mpaka nimuite Dr aje aongee na family yangu kuwa huyu anaumwa? Halafu mgonjwa watu wanazika ndugu yako wewe uko 5 star hotel unasema life is back to normal
 
Back
Top Bottom