MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
😅Lemutuz ana daktari wake.
Tena mwenye hadhi ya Uporofesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅Lemutuz ana daktari wake.
Asingekuwa celeb asingejitoa akili mtu mzima ovyo
🤣Kaja kuzika shangazi
Siyo kumwakilisha Le Mutuz
Hapo sasa nimempata. Mitandao yake huwa naifatilia pamoja na kuonekana wa maajabu ila kuna kitu fulani uwa napata kwenye lifestyle yake. Kuhusu biashara ndio sijajua kabisa
Sio mitindo,mbona imeandikwa vizuri hapo ni Mwanamitandao."Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi
Nje ya mada kidogo mbona Mwandiko wa Lemutuz unafanana na Mwandiko wa Bill LuganoKing of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.
Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.
"AlichikisemaView attachment 2126973
Huyu Dr Janabi ukimchulia serious unaweza usitoke ndani ya nyumba na kushindia maji tu kila kitu kwake kibaya wakati binadamu umeumwa kuchukua kila kitu mwili wenyewe unachuja vibaya huyu jamaa yeye kila kitu usile sasa kulikuwa na haja gani ya kwenda msibani kusema msimchukue huyu hali yake sio nzuri kwani family yake hawajui kama anaumwa. Ukiona mtu anatumia nguvu sana ujuwe kuna walakini ila yote sio issue kubwa sana mtu kupata udhuru kawaida tu. shida hapa Dr kwenda kuomba family hapo ndio shida.Lakini dr.wake ni prof.janabi ujue utabakia na majungu yko hayo
wale walikuwa wanatuta followers tu kupiga pesaNa wa kwanza kumcheka na kumsimanga ndo huyo huyo leo analia kafiwa na Mama wa kambo ambaye ni Dada wa le mutuz. Sijaelewa sababu za Mwele kuacha kaka yake kudhalilishwa kiasi kile na the so called daughter
Yaani binadamu wa ajabu SanaHuyu Dr Janabi ukimchulia serious unaweza usitoke ndani ya nyumba na kushindia maji tu kila kitu kwake kibaya wakati binadamu umeumwa kuchukua kila kitu mwili wenyewe unachuja vibaya huyu jamaa yeye kila kitu usile sasa kulikuwa na haja gani ya kwenda msibani kusema msimchukue huyu hali yake sio nzuri kwani family yake hawajui kama anaumwa. Ukiona mtu anatumia nguvu sana ujuwe kuna walakini ila yote sio issue kubwa sana mtu kupata udhuru kawaida tu. shida hapa Dr kwenda kuomba family hapo ndio shida.
Jinsi gani sisi masikini tulivyo hahahaha! Kijiba Cha rohoKutibiwa na Dr. Janabi ni maajabu? Kwa taarifa yako mara kibao nishatibiwa viugonjwa vya kawaida kabisa na Daktari wa Rais mmoja wa nchi za Kusini mwa Afrika, sembuse Leo Mutuz mwenye tatizo kubwa la kiafya. Dr. Janabi si anatibu yeyote hata wewe muokota makopo.
Nimeuliza mitindo anafanyia wapi na biashara ni zipi ili niwe stakeholder. Nilichouliza ni majungu kwako kwa sababu akili zako hazina akili!
Tena wakawa wanamcheka eti mama yake anaishi kwenye nyumba mbaya!
Kuna watu wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu utadhani wanapata ujira.
Anajiita "King of all social media bongo"Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye msiba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.
Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Bila shaka itakuwa moyo mbovu kupaa na ndege kunakuza tatizo.Kwani bei ya ndege kutoka dar mpaka dodoma bei gani au mm ndo sijaelewa taarifa.
Kumbe Ni babuHuyu lemutuz anamiaka 60+ lakin uandishi wake utasema kachalii kenye miaka -25 yaani utoto mwingi anajisifu balaa.
Watoto wa kishua huwa hawakomai kiakili muda wote wanajiona watoto tu
Anaumwa wala hilo halina ubishi sasa wewe ukiumwa si family yako wanajuwa kuwa ndugu yetu mgonjwa sasa mpaka nimuite Dr aje aongee na family yangu kuwa huyu anaumwa? Halafu mgonjwa watu wanazika ndugu yako wewe uko 5 star hotel unasema life is back to normalYaani binadamu wa ajabu Sana
Kwahiyo anaumwa au haumwi?