pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Kuna mdau post ya juu amesema walikuwa na tofauti kabla ya kifo kuna baadhi ya mali walikuwa wanagombea na mange ndo alikuwa anaoengeza tatizo.Huyu jamaa majuzi kati kabla ya mazishi alipita na gari yake akiwa ana_bang bolingo kwa sauti ya juu, nikajua tayari msiba ulishaisha. Cha ajabu nakuja kusoma gazeti naona mazishi yanafanyika jana . Sasa nimebaki kushangaa. Marehemu hajazikwa inakuwaje jamaa anakuwa kama hajali vile!?