Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Huyu jamaa majuzi kati kabla ya mazishi alipita na gari yake akiwa ana_bang bolingo kwa sauti ya juu, nikajua tayari msiba ulishaisha. Cha ajabu nakuja kusoma gazeti naona mazishi yanafanyika jana . Sasa nimebaki kushangaa. Marehemu hajazikwa inakuwaje jamaa anakuwa kama hajali vile!?
Kuna mdau post ya juu amesema walikuwa na tofauti kabla ya kifo kuna baadhi ya mali walikuwa wanagombea na mange ndo alikuwa anaoengeza tatizo.
 
"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."

Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi
Angekodi Helikopta ingempeleka ila hayo ni mambo binafsim ya kifamilia
 
Mo wa tiktok? Yule anabahati tu ya maisha Mambo anayo tweet ni ya kipuuzi sana na tabia yake ya kususasusa inaashiria ni jinsi gani anaakili za kitoto japo ni tajiri
Kiukomavu huwezi kumlinganisha na husler kama bakhresa
[emoji23][emoji23][emoji23] km Wivu hivi.
 
King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.

Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.

Alichokisema...

View attachment 2126973

Emmanuel nchimbi anamuwakilisha kama nani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaumwa wala hilo halina ubishi sasa wewe ukiumwa si family yako wanajuwa kuwa ndugu yetu mgonjwa sasa mpaka nimuite Dr aje aongee na family yangu kuwa huyu anaumwa? Halafu mgonjwa watu wanazika ndugu yako wewe uko 5 star hotel unasema life is back to normal
Daaah tabia za kiafrika sana hizi yaani kwa kua kuna msiba basi asile chakula 5 star??? akila nyumbani au 5 star hotel does it make any difference?? Does it make him looks better ???Ndio maana wazungu uwaga hawataki longo longo kwenye misiba wanatoa tangazo kabisa "Let us grieve in private". Hata angekula kwa mama ntilie au nyumbani huyu ndugu yake asingefufuka....! RIP Dr. Mwele.
 
Kawaida Sanaa, Ukiendekeza Misiba, Harusi, Makanisa/Misikiti Tanzania Utakuwa Maskini Sanaaa.

Le Mutuz Aende Kwenye Msiba Asiende Ni Yeye Na Familia Yake. Nafikiri Familia Yake Ndio Ilipaswa Kulalamika Kwanza Kabla ya Sisi. Sasa Kama Familia Haija Lalamika Kwanini Sisi?
 
Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye msiba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.

Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Hivi mama zao ni tofauti kumbe na kina mwele?
 
Daaah tabia za kiafrika sana hizi yaani kwa kua kuna msiba basi asile chakula 5 star??? akila nyumbani au 5 star hotel does it make any difference?? Does it make him looks better ???Ndio maana wazungu uwaga hawataki longo longo kwenye misiba wanatoa tangazo kabisa "Let us grieve in private". Hata angekula kwa mama ntilie au nyumbani huyu ndugu yake asingefufuka....! RIP Dr. Mwele.
Jamii inakuona tofauti!
Mi sipendi kiukweli, kipindi cha covid misiba ilivyokuwa ikiendeashwa watu wachache nilipensa sn,sema tu sikulipenda janga lenyewe!
Mi ingekuwa amri yangu,misiba jmn watu wasije kujazana tena bongo na gharama sijui zinatokaga wapi wafiwa wanabaki na madeni!
Kwakweli nawapensa wazungu Kwenye hili eneo.
 
Daaah tabia za kiafrika sana hizi yaani kwa kua kuna msiba basi asile chakula 5 star??? akila nyumbani au 5 star hotel does it make any difference?? Does it make him looks better ???Ndio maana wazungu uwaga hawataki longo longo kwenye misiba wanatoa tangazo kabisa "Let us grieve in private". Hata angekula kwa mama ntilie au nyumbani huyu ndugu yake asingefufuka....! RIP Dr. Mwele.
Ndio maana sisi sio wazungu tuna mila zetu na wala sio issue kula 5 star shida mwili hata haujazikwa ndugu yako wewe unajipost 5 star life back to normal angekuwa mzungu hakuna mtu angesema ni mila zao na wewe ukifika tangaza msije watu private tu uzike wewe na mkeo tu mbona rahisi. acha mambo ya kuiga kila kitu wazungu hao wazungu labda wanatamani haya ya kwetu basi kasumba tu yetu. wazungu wana mazuri yao na wana mabaya yao na kama sisi yako mazuri na yako hayafai kwa macho ya wengine. sisi kuzikana ni mila na dini zetu. eti "lets us grieve in private" kubali na ushoga tu malizia wanaume waowane.....
 
Back
Top Bottom