Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Ndio maana sisi sio wazungu tuna mila zetu na wala sio issue kula 5 star shida mwili hata haujazikwa ndugu yako wewe unajipost 5 star life back to normal angekuwa mzungu hakuna mtu angesema ni mila zao na wewe ukifika tangaza msije watu private tu uzike wewe na mkeo tu mbona rahisi. acha mambo ya kuiga kila kitu wazungu hao wazungu labda wanatamani haya ya kwetu basi kasumba tu yetu. wazungu wana mazuri yao na wana mabaya yao na kama sisi yako mazuri na yako hayafai kwa macho ya wengine. sisi kuzikana ni mila na dini zetu. eti "lets us grieve in private" kubali na ushoga tu malizia wanaume waowane.....
Mmejaa na ma wivu tu Lemutuz kula 5 star . wabongo kwa unafiki na wivu mnaongoza ndio maana nchi inaogopa uraia pacha.
le mutuz kula bata banaa maisha yenyewe ndio haya haya.. wenye vijiba vya roho shauri zao.
 
Kuna mdau post ya juu amesema walikuwa na tofauti kabla ya kifo kuna baadhi ya mali walikuwa wanagombea na mange ndo alikuwa anaoengeza tatizo.
Wanagombea Mali wakati Baba Yuko hai?
 
Tena wakawa wanamcheka eti mama yake anaishi kwenye nyumba mbaya!

Kuna watu wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu utadhani wanapata ujira.
Na wewe usilazimishe tukubaliane na upuuzi wako,marehemu ni dada yake na Mutuz ni mtu maarufu kutokana na familia yake ni haki watu wajiulize kulikoni asihuzulie msiba wa dada yake, watu ambao sio ndugu wameenda kumzika Mwele sembuse kaka mtu, hizo za afya yake sijui daktari kasema hivi nizo ni sababu tu Dodoma pana umbali gani kwani si angeweza kusafiri kwa ndege iliyopeleka mwili Dodoma, tuache kujifanya wazungu bana.
 
Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa Mzee Malecela hakuna ubishi!! Kama alifika mazishini au la ukweli huo haubadiliki!
Nlishangaa sana Mzee Malecela mwenyewe alivyotangaza kifo cha mtoto wake akasema Mwele ndio mtoto wake wa kwanza......haraka haraka nkaona kuna tatizo linafukuta ndani, ina maana mzee anamkana LeMutuz au inakuwaje...?

Yote kwa yote mambo ya familia wanaachiwa wenyewe.
 
King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.

Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.

Alichokisema...

View attachment 2126973
Kwa kweli walimdharau lemutuz .Lemutuz ni mtoto wa kwanza wa Mzee malecela ila wale watoto wa mama malecela wa kwanza Walikuwa Wanasema kaka etu mkubwa ataongea ghafla William haonekani it’s was weird .Yule seche ndio kimbelembele my sister my sister .baba ao mwemyewe kaoa mke mwingine .
 
Tena wakawa wanamcheka eti mama yake anaishi kwenye nyumba mbaya!

Kuna watu wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu utadhani wanapata ujira.
Amemind kutotajwa kama mtoto wa Malecela kwenye huu
Unajua mtu kama kaka yako kamwacha mkewe kamwacha .Huyu x wa le mutuz alikuwa mstari wa mbele kuuguza urafikiri bado kaolewa na na lemutuz that can be annoying .It’s one thing awe na machungu kumpoteza dada na strange x wife neema akiwa ndio ana majonzi na masikitiko makubwa kuliko lemutuz.Ukishaachwa umeachwa Sisi wanawake sometimes alikuwa amehangaika kununua nguo ya wifi yake from Newyork to Geneva .Hata wewe usingekasirika ???
 
Nlishangaa sana Mzee Malecela mwenyewe alivyotangaza kifo cha mtoto wake akasema Mwele ndio mtoto wake wa kwanza......haraka haraka nkaona kuna tatizo linafukuta ndani, ina maana mzee anamkana LeMutuz au inakuwaje...?

Yote kwa yote mambo ya familia wanaachiwa wenyewe.
Mama ake Lemutuz na mama wa dr mwele walikuwa Marafiki haswa .Mzee malecela akawa ana wa date wote .marafiki wanaibiana mmoja a kapata mimba ndio mtoto le mutuz Mzee malecela akalea Mtoto wake wakiume na akaamua kumuoa mama ake mwele .Baaada ya ndoa Mzee malecela akaendelea kuwa na wote .Mama lemutuz mke mkubwa mdogo mama mwele.It’s a soap opera
 
Huyu lemutuz anamiaka 60+ lakin uandishi wake utasema kachalii kenye miaka -25 yaani utoto mwingi anajisifu balaa.
Watoto wa kishua huwa hawakomai kiakili muda wote wanajiona watoto tu
Hata miaka yake mnatudanganya kila siku.Kama dada yake mkubwa alikuwa na miaka 58 tu.Yeye atakuwaje na 60?Wa bongo ,mmejaa majungu,vitina,wivu,roho mbaya.Mwacheni Lemutuz ale maisha ya baba yake.
 
Na wewe usilazimishe tukubaliane na upuuzi wako,marehemu ni dada yake na Mutuz ni mtu maarufu kutokana na familia yake ni haki watu wajiulize kulikoni asihuzulie msiba wa dada yake, watu ambao sio ndugu wameenda kumzika Mwele sembuse kaka mtu, hizo za afya yake sijui daktari kasema hivi nizo ni sababu tu Dodoma pana umbali gani kwani si angeweza kusafiri kwa ndege iliyopeleka mwili Dodoma, tuache kujifanya wazungu bana.
Una maruerue wewe!

Ulipolazimishwa ukubaliane na upuuzi wangu ni wapi?

Nimekubong’olesha na kukusokomezea kijiti kwenye njia yako ya haja kubwa na kukuambia ni lazima ukubaliane na upuuzi wangu??

Hakuna nilipolazimisha mtu akubaliane na mimi. Ni hisia zako duni ulizonazo tu.

Si ajabu wewe una project jinsi ulivyo. Umezoea kulazimishwa basi unaona kila kitu kama unalazimishwa vile ilhali wala hujalazimishwa.

🖕
 
Mama ake Lemutuz na mama wa dr mwele walikuwa Marafiki haswa .Mzee malecela akawa ana wa date wote .marafiki wanaibiana mmoja a kapata mimba ndio mtoto le mutuz Mzee malecela akalea Mtoto wake wakiume na akaamua kumuoa mama ake mwele .Baaada ya ndoa Mzee malecela akaendelea kuwa na wote .Mama lemutuz mke mkubwa mdogo mama mwele.It’s a soap opera
Kama aliendelea nao wote na Mama Lemutuz kuwa Mke Mkubwa kama unavyodai,mbona sasa Mama yao Mwele ndiyo aliyefunga ndoa na Mzee? Au mimi sielewi dhana ya kuitwa Mke Mkubwa?
 
Hata miaka yake mnatudanganya kila siku.Kama dada yake mkubwa alikuwa na miaka 58 tu.Yeye atakuwaje na 60?Wa bongo ,mmejaa majungu,vitina,wivu,roho mbaya.Mwacheni Lemutuz ale maisha ya baba yake.
Unaambiwa huyu ni wa Mama mwingine na ndiye mtoto wa kwanza wa Mzee,sasa kama Dr.Mwele alikuwa na maiaka 58 na Lemutuz ndiyo first born wa Mzee,kwa nini asiwe na 60+? Japo sikubaliani na wanaomshambulia kwa kutohudhuria mazishi ya Dada yake,mambo ya familia yana siri nyingi na ukizingatia hawakuzaliwa tumbo moja.
 
Mama ake Lemutuz na mama wa dr mwele walikuwa Marafiki haswa .Mzee malecela akawa ana wa date wote .marafiki wanaibiana mmoja a kapata mimba ndio mtoto le mutuz Mzee malecela akalea Mtoto wake wakiume na akaamua kumuoa mama ake mwele .Baaada ya ndoa Mzee malecela akaendelea kuwa na wote .Mama lemutuz mke mkubwa mdogo mama mwele.It’s a soap opera
Eti it was a soap opera 🤣🤣🤣
 
Na wa kwanza kumcheka na kumsimanga ndo huyo huyo leo analia kafiwa na Mama wa kambo ambaye ni Dada wa le mutuz. Sijaelewa sababu za Mwele kuacha kaka yake kudhalilishwa kiasi kile na the so called daughter
Huyo le mutuz mwenyewe alikua anavuruga dada yake kipindi alichotumbuliwa alimshambulia sana mitandaoni
 
Nimemshangaa Sana mange kumsimanga na kumtolea maneno machafu ya kuwa yeye ni mtoto wa nje ya ndoa kwamba upatikanaji wake ulitokana na ukahaba wa mama yake wakati huo huo yeye pia alipatikana kwa njia hizo hizo.
Imenishangaza Sana nadhani hayuko sawa kiakili mange
 
Back
Top Bottom