Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

Nimemshangaa Sana mange kumsimanga na kumtolea maneno machafu ya kuwa yeye ni mtoto wa nje ya ndoa kwamba upatikanaji wake ulitokana na ukahaba wa mama yake wakati huo huo yeye pia alipatikana kwa njia hizo hizo.
Imenishangaza Sana nadhani hayuko sawa kiakili mange
Yani ajabu. Huyo mange mwenyewe mwanawe wa kwanza Bhoke si kampata kwa ukahaba huohuo? Kweli nyani haoni kundule
 
Lembebez muongo muongo aliandika ya kwamba aliempiga picha ya kibamia alitumwa na x wake na Leo kakana Kua dr Mwele hajamchangia kwenda kutibiwa india .Day One alivyoona msiba una kick aliandika My super sister alinichangia na kuhakikisha anafatalia afya yangu kwa madaktari wote walionitibia kila wakati kwa simu
Nilibaki mdomo wazi kuona anayakana maandiko yake mwenyewe aliyoyaandika ndani ya week 1 tu.
 
Pole mtoto wa hausiboi
Na watoto wa house Boy wanakuwaga na viherehere sana.... kujifanya ni wa halali, hasa hasa kufungua ma- gate usiku hiki kinawaokoa weengi sana! kuumbe nyuma ya pazia mweee!! utayamba kifukuto!
 
Hii ni bongo, ndio maana tunataka Katiba mpyaaa tuwe kama kwa Biden unakobeba box.
Hayo ni mambo yao ya kifamilia.

Kwa nini watu wanajali sana? Yanawahusu?

Angeenda, asingeenda, kwangu haijalishi hata kidogo!
 
Pole
Na watoto wa house Boy wanakuwaga na viherehere sana.... kujifanya ni wa halali, hasa hasa kufungua ma- gate usiku hiki kinawaokoa weengi sana! kuumbe nyuma ya pazia mweee!! utayamba kifukuto!
 
Lemutuz anagombania urithi instagram na dada zake ikiwa baba Yao hajafariki

Wanaume msioe uzeeni mnawaletea shida watoto wenu wanaume msichepuke kuzaa huku na kule mnafanya familia zilogane, na ziwindane kutoana roho
SAsa wasipo oa huku na kule!! wakati hela wanazo!! hao wengine tupate wapi huduma???...ndo maana mnawawaisha kuzimu bila kutubu!!.... safi sana hao ndo wanajua akioa huku na huko ana ulinzi tosha ..

mke mkubwa ukimuua tu!! hawa wanakupigia kelele!! oooh! ulimuua Baba yetu ili urithi mali na wanao!! na wewe tuna kuua!! bora umuache arithi asomeshe wa huko na huku!! waishi maisha yao km wao!!

Tatizo ni sisi wamama ndo tunasababisha!...yaani utasemwa mpaka ufe hai!
 
Mdangaji at work 😿😿 kwani wewe ni kilema mama , tafuta mali zako uza hata uji hacha kuvizia wazee
 
Lembebez muongo muongo aliandika ya kwamba aliempiga picha ya kibamia alitumwa na x wake na Leo kakana Kua dr Mwele hajamchangia kwenda kutibiwa india .Day One alivyoona msiba una kick aliandika My super sister alinichangia na kuhakikisha anafatalia afya yangu kwa madaktari wote walionitibia kila wakati kwa simu
Kwahiyo pesa alipewa halafu leo anakana,yule babu anastress za kufa kenge kwahiyo roho mbaya yake itamcost...hapo alipo ni spana mkononi kma gari la mkaa,akicheza yeye atazikwa na mzee instead ya yeye kumzika baba,umri huo sio wa kuwaza mali za baba
 
Mdangaji at work 😿😿 kwani wewe ni kilema mama , tafuta mali zako uza hata uji hacha kuvizia wazee
Yaani hata usemeje Me'' wote wanajileta tu!! km mbwa kwa chatu!! wanaume kwangu kamwe hawana ujanja wowote!!sababu najijua!! kweli ke'' mpo wenye sura ngumu mtauza uji!! watanunua ebu nikuulize wapi uliona mrembo ka mie anauza Uji!??

ikitokea hivo atauza siku moja tu!! tena haendi mbali!!! Boss wa kampuni ataununua wote na mie jumla ya mazimaaaa hutarudi tena barabarani!! ukiona umeuza uji mwezi mzima jua tu una kimavi!...sisi ndo tua run Dunia bibi weye!!

saana mrembo utamkuta Bar na hapo napo kamwe hakai anazolewa jumla tena na mwenye hela haswaaa!!! palee Dodoma Bungeni kamwe hakuna ke mwenye Sura ngumu!! km mie muongo nenda uone km sura yako ngumu!!!!

na wengi humu avatar zenu !! siyo sura zenu, wachache sana ambao tumeweka sura zetu halisi!!! naamini km wewe ungekuwa km avatar yako ilivo!! ungepata soko la uhakika Duniani!! ungekula kiubwete!! hakika nasema......

Tangu kuumbwa kwa Dunia Warembo hatuhangaikagi!!...ulizia popote!!!....wazee vijana ilimradi kana naniliu.. wanaumeeee .ni halali yetu wameumbwa watulishe!! watuvishe!! watake wasitake !!! ukiuza uji kwa shida jua u janamke zembe sana weye!!

Dunia nzima inatutetea Beijing sisi wazee wazima walikaa pale ajili yetu papuchi tu ikawakalisha pale!! jitambue!!! tunawaliza km watoto!! yaani naweza kwenda ikulu pale nikawapiga askari makofi wooote!! na hawata nifanya kitu!!!

saaana wanaume walivo wajinga wataomba na papuchi!! hapohapo!! ... hata ukiwaahidi uongo!! wanakuachia na nauri wanakupa!! kimbembe aende kidume afanye ivo Maweeeeee!!! afwaaa mbona watamtafuna kavukavu
 
Kwa hivyo wewe ni changudoa?? Umekuja kujiuza kwa great thinkers 😿😿😿😿Mbona wewe ni mdogo kama hiyo avatar ni wewe tafuta kazi ufanye mdogo wangu Dodoma tu natoa house girls wengi fanya hata hiyo huku sisi ni great thinkers hatushindani kudanga hatushindani kwa uzuri

Huku sio instagram wala tik tok huku tuna challenge kwenye issue za msingi za Taifa let una ndio maana hatuoni umuhimu wa picha zetu kwa Kua Kua hatujiuzi
 
CD siyo dhambi walikuwepo tangu zama!! wapo na watakuwepo!! ...... kasome upya!! anaza mwanzo!! ujue Bibi yake Yesu alikuwa nani?? Magdalena mwanamke pekee aliyekuwa karibu na Yesu alikuwa CD mwenye hela!!.......

Na huyo huyo CD ndiye aliye kuwa wa kwanza Kumuona Yesu alivo fufuka!!..... Sikia great thinker wa Usawz kwenu huko!! Mammy hawaniwezi! tutaonana wapi kwanza! au nikutupie kapicha uone nilipo??enhee!! unataka??

Ni kweli kabisa!!! nyie Wenye sura ngumu ndiyo mna challenge issue za msingi wa maatizo yenu!..amabayo hayaishi siku baada ya siku...lkn sie tuna kula kiubweteee!!...na Me'' Nikwambie siri sasa best angu??? ni kuwa ...

Me wa siku hizi wajanja sana wana taka sura Bomba km zetu izi!! ili wafyatue watoto Bomba wasiwe mzigo pale nyumbani!! make mashamba hakuna ebu nkuulize tu!!.... shoga Mjini utalima kunako Lami???

Me ukioa ke'' Bomba km mie!! hawa lali njaa!! uongo!! ....popote pale tunapendwa na watu wooote! ili mradi tu umuwekee heshima yake!...fikiria mume akilazwa wardin na ana mke mwenye sura km yangu hii!! ikaenda kumuona wardin,

kwa kitendo huki Madaktari woooote! vijana kwa wazeee! Manesi woooote!! na wagonjwa majirani wooote, misaada kwa sana na watavuta usikivu kwangu wanione tu kwa karibu!! je Mumeo hajapona kiubwete bado??...hujamsaidia na kujisaidi weye??

kwa sura hii tu yangu!! hata mtaani unakuwa maarufu na unajulikana faster Uongo!!....makanisani huko mume atajulikana ni wa mume wa samaki!! najua kana kuuma lkn jikubali tu!! km vepe njoo tushindane in box tuone nani Bomba zaidi!!

Usiogope km kweli wewe ni mwanamke wa shoka njoo tushindane in box, km vepe watu me watuamulie hukohuko nani zaidi!!! njoooo!!...km kweli wewe ni mwanamke njooo!
 
Kwa hivyo wewe ni changudoa??
Baby jaribu kupima na angalia kwa uzuri na jifunze kwa Rais wetu bongo hapo!!! huyo Mama ni Mzuri tena Bomba hasa, Mwili mzuri make guu ni guu hasa!! mengine sisemi hapo kazeeka je alipokuwa kijana??...Mabinti zake umewahi waona wale?? ...

sasa angalia Mama anavo pata mialiko Mingi?? weeeee!! sura inambeba pia mpaka mnataka kunywa sumu!!ooh! Mama kazidi safari! .....na huyu ndiyo Rais Mrembo wa kwanza Africa!! Hongera sana Mamam yetu tuna kupenda woote!!

hao wenye wivu wewe tuachie sisi tuta deal nao effectively!...siyo siri Mama ni Rais Mzuri wa sura tabia mnazijua wote! na ndo ukweli wenyewe!....hafi njaa yule!

tungempata Ndalichako??? Mwee! nchi ingesimama!........ asinge pata mialiko km ya Mama!! na sikia Baby wangu ukichunguza vizuuuri sana Mialiko ya marais nje ya nchi inaendana na sura nzuri!!! unabisha???....

Chunguza tu kirahisi tu Ma Rais wote Duniani ambao ni Ma- hand- some/Beautiful Wanaalikwa sana Duniani hawakai ofisini, na kule Rais mzuri mzuri wa sura unaweza acha mbegu!! rhuksa hakuna shida!...tatizo ni wenye sura mbaya wanatuchukiaaaaaa!!!

na hawa ndo wanaturoga wazuri tusizae!! yuko tayari hata amroge mikosi mwanae mrembo!! kwa urembo wake tu ina muuma hasa mashangazi wa mtu husika wanaroga sana urembo wa watoto wa kaka zao uongo!!
 
Lembebez muongo muongo aliandika ya kwamba aliempiga picha ya kibamia alitumwa na x wake na Leo kakana Kua dr Mwele hajamchangia kwenda kutibiwa india .Day One alivyoona msiba una kick aliandika My super sister alinichangia na kuhakikisha anafatalia afya yangu kwa madaktari wote walionitibia kila wakati kwa simu
Hapo kweli hata mimi kama kanichanganya. Ila kwa kweli yanayoendelea huko Inst wanamuaibisha mzee Malecela sana, huyu mzee kashika nafasi nyingi serikalini hamuwezi kwenda kumuabishia family yake na wala hakuna family isiyokuwa na matatizo lakini watu wanaficha mambo ya kifamily. Yule Mama mke wa mzee ukimuangalia tu unajuwa huyu Mama sio mtu mwema utaona Nuru tu usoni. Tuache hayo Mzee gawa mali zako waite watoto zako wote mpe kila mtu haki yake au hawa watoto zako watakuja kuuwana huko mbele. waite macho makavu wape za usoni na kama ukiona wanakuzingua wape mali zako utakaowapenda hata nje ya ukoo sasa kama kweli wanakupenda kama Baba waendelee. Mtu bado mzima mnaanza kugombania mali? shame tafuteni zenu
 
Nimemshangaa Sana mange kumsimanga na kumtolea maneno machafu ya kuwa yeye ni mtoto wa nje ya ndoa kwamba upatikanaji wake ulitokana na ukahaba wa mama yake wakati huo huo yeye pia alipatikana kwa njia hizo hizo.
Imenishangaza Sana nadhani hayuko sawa kiakili mange
Mtoto wa kwanza anakuaje wa nje ya ndoa na Mbona Mzee malecela ameoa gold digger Hawa topata kitu
 
Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye msiba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.

Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Sure sikuona ndugu yake yeyote kwenye msiba wa mama yake.

Lemutuz nae ni mtu ana moyo wenye nyama

Mwachie aishi maisha yake
 
Hahahaha Prof Janabi aliposikia msiba tu akamkumbuka mgonjwa wake akawahi kwenda kuisihi familia isimjumuishe kwenda kwenye msiba.
Ah ! ah! Ah!ah ah shida ya Le Mutuz anapenda maisha ya kuigiza mno
 
Nyepesi Nyepesi toka huko kwa mange kimavi, familia ya mzee Malecela inadaiwa tshs milion 28 za kupambiwa wakati wa mazishi ya Dr. Mwele-RIP, na anaewadai ni mtoto wa kufikia wa mzee mwenyewe. Ni mtoto wa mke wake wa sasa mama Kilango ndie anaewadai hio pesa. Hio familia ina mengi inapitia kwa sasa ila nadhani kuna tatizo sehemu fulani, aidha waziri mkuu mstaafu sio tough katika maamuzi au kuna mengine maana watoto wake hawawezi kugombea mali wakati yeye bado akiwa bukheri wa afya.
nawakilisha.
 
Back
Top Bottom