Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Yani kila siku Le super mama! Nikajua mama Kilango ndo mamake!! Kumbe wake yupo! Sasa si umlete makao mapya kwanini ukamfukie huko mbeya?
 
Umri na mambo yake tofauti unakuta anapita mitaa ya sea veaw kafungulia sauti mpaka kero anafanya vitu utadhani under 20

Mmarekani.. Ana enjoy keki ya taifa,watoto wa viongozi wa CCM wote akili zao zinafanana.
 
Hebu mngeweka kapicha kahako kanyumba kamamake....
 
Mie nilionyeshwa 2010 mama ake nikaambiwa kuwa alipata damage ya ubongo baada ya watoto wake kupata ajari ya ndege,sikuamini maana nilivyomuona na kujua status ya mzee doh,nilimuona pale Mpemba nawahakikishia Le mutuzi hawezi weka picha ya mama ake hapa hii ni kutokana na maisha anayoishi huyu mama ni tofauti ujinga anao ufanya Le mutuz kwenye mitandao!
 

Binafsi huyu jamaa namuona ni kubwa jinga, lakini simlaumu yy moja kwa moja bali hata wale waliomlea tangu akiwa mdogo ndo makosa yalianzia huko. Kumbuka mtoto umleavyo ndivyo atakavyokua...inafika mahali ht yy anawalaumu wazazi wake ni kwanini hawakumpa malezi mazuri awe km binadamu wengine. Pole sana William Malecela,
 
The failed person. Nyumba ya mama yake inatia huruma halafu yeye anadai ndo nyumba bora. Mtu amekwenda kumwona mama yake Mgonjwa yeye anaishia kulala mahotelini. Wazazi wengine wanaugua frustrations tu na si kingine. Mtu Mzima miaka fifte unashindwa kujua moja ya mambo yatakayompunguzia maradhi mama yako ni kwenda nyumbani kwake ukala na kulala pale. Mtu Mzima unamfanya mama yako aone kuna pengo kubwa katikati yenu kutokana na uduni wa maisha yake. Kosa Mali pata akili.
 
Ndio maana Mimi sipendi umaarufu mitandaoni sababu unakufanya uishi fake life.kila siku le mutuz anajidai kuwasaidia watu wakati mama yake anaishi maisha ya shida.kila siku yupo bize kupiga picha na wadada na kuwasifia insta lakini hata siku moja hajawahi kuweka picha na mama yake akimsifia.
Ndio maana pamoja na mapungufu yake namkubali sana diamond kwa tabia anayoionyesha kwa mama yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…