Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Nimejaribu kugoogle hapa katika mambo ya saikolojia inayosababisha mtu above 55 to behave like a child. uhenda lemutuz miaka ya nyuma alikuwa abused ama alikuwa drug addict ama alijigonga kichwa kwenye kitu kigumu ama lishe yake alipozaliwa ilikuwa junk foods ama alishuhudia au kuhusika Katika mauaji ya kikatili ama alikuwa traumatized. All this might fit to his mental shakeup now!
 
Mwenye picha ya nyumba ya mama yake le Mutuz..msaada tafadhali


Nothing personal
 
Sikuizi akipiga picha anabinua mdomo kama mwanamke

swissme
 
Let the man live his life. It's natural wote hatuwezi kuwa na uwezo au interest sawa. In any case why then follow him on social media? Ndo Maisha kayachagua. Tuheshim maamuzi take as long as hayatuathiri kwa namna nyingine.
 
Binafsi huyu jamaa namuona ni kubwa jinga, lakini simlaumu yy moja kwa moja bali hata wale waliomlea tangu akiwa mdogo ndo makosa yalianzia huko. Kumbuka mtoto umleavyo ndivyo atakavyokua...inafika mahali ht yy anawalaumu wazazi wake ni kwanini hawakumpa malezi mazuri awe km binadamu wengine. Pole sana William Malecela,

Sema Wewe Kwani Akisema GENTAMYCINE Ataonekana Ana Chuki Binafsi. Nawaombeni Mumsamehe Tu Huyo Mtoto Wa Nje Cup Na Ze Chepokoz La Mzee Jumanne!
 
Le gadem mburulalaz mazafantazz relax
Du me a favor kufwa fo me hahaha
Jamaa langu sana bhana hili ila cha kushangaza insta lime ni block gadem le jituuuu
 
Kuna siku hapa jamvin nilicheka sana eti mwanajamvi mmoja alienda ofisin kwa lemutuz na kuwakuta lemutuz na watu wake wamelundikana kwenye kachumba kadogo na malaptops zao eti ni kampuni
 
Sometimes ni vizuri ukizidiwa ukapiga punyeto kuepuka matatizo kama haya.
 
Yeye na Kingunge bado wapo uvccm.

Bora Kingunge naweza kusema yupo kama mshauri...ila huyu baba anafanya nini? anashauri nini wakati yeye mwenyewe hazimtoshi...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom