Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
- Ndio kawaida ya walevi hujisema wenyewe bila kuulizwa, sasa kweli utajilinganisha mimi na wewe mika 60 Majuu hujawahi kanyaga bongo wazazi wako wote wamekufa hujui wamezikwa wapi, kweli unaweza kujilinganisha na mimi mkuu hahahaha huoni unajisema mwenyewe kuwa hizo ndio tabia zako yaani za upumbavu au? hahahahaha
Le Mutuz
wewe ni mpumbavu sana
ongea na hao wanaojua Janaweed ni nani, anaishi wapi, anafanya kazi wapi na ana umri gani (hint, umenizidi kwa miaka kumi) etc.
Una miaka hamsini na ushee, mpuuzi unafanya mambo hata akina steve nyerere na ukomedian wao hawawezi, unafanya mambo hayaendani na ndugu zako walka familia yako...
Dont you even sit for a minute na kuwaza how akina seche, tuli na mwele wanajisikiaje wakisoma ungese wako humu kwenye social media?? as a scientist sometimes nawaza hivi ni genes gani umebeba wewe mtu mzee wa over fifty na zaidi ya kiilo 120?? una nyama au mapupu tu??
You should do yourself a favor and behave, for God's sake
Mpuuzi sana wewe mzee