Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
- Ndio kawaida ya walevi hujisema wenyewe bila kuulizwa, sasa kweli utajilinganisha mimi na wewe mika 60 Majuu hujawahi kanyaga bongo wazazi wako wote wamekufa hujui wamezikwa wapi, kweli unaweza kujilinganisha na mimi mkuu hahahaha huoni unajisema mwenyewe kuwa hizo ndio tabia zako yaani za upumbavu au? hahahahaha

Le Mutuz

wewe ni mpumbavu sana

ongea na hao wanaojua Janaweed ni nani, anaishi wapi, anafanya kazi wapi na ana umri gani (hint, umenizidi kwa miaka kumi) etc.

Una miaka hamsini na ushee, mpuuzi unafanya mambo hata akina steve nyerere na ukomedian wao hawawezi, unafanya mambo hayaendani na ndugu zako walka familia yako...

Dont you even sit for a minute na kuwaza how akina seche, tuli na mwele wanajisikiaje wakisoma ungese wako humu kwenye social media?? as a scientist sometimes nawaza hivi ni genes gani umebeba wewe mtu mzee wa over fifty na zaidi ya kiilo 120?? una nyama au mapupu tu??

You should do yourself a favor and behave, for God's sake

Mpuuzi sana wewe mzee
 
- U know nashindwa kuwaelewa nikiwa sipo mnasema maneno mengi kuhusu umri wangu na akili yangu, ambavyo sio siri wote hamuvielewi nawauliza kosa langu ni nini hasa kuja huku kumuuguza Mama yangu, au kosa langu ni kwa nini Mama yangu anaishi kwenye nyumba? au kosa langu ni kwa nini nimemuhamishia Mbeya for medical check up huku naikrabati nyumba yake naomba mniambie kosa langu moja tu linalodaiwa mimi kuwa tofauti na umri wangu ambao hamuujui eti tatizo lenu ni nini hasa?

Le Mutuz

..mi mwenyewe siamini kama uko above 50...unaweza ondoa huu utata??
 
Kwanza mzee malecela kwanini asimjengee mke wake wa zamani nyumba nzuri, wakati amemjengea anna kilango jumba la kifahari masaki. Kwani ugomvi kati ya mama na ana kilango umekwisha'?

Afterall mama ni mama, na yote unayofanya lemutu ni sahihi, na ni mfano wa kuigwa.

Ninyi mnaosema vibaya ,hata mama zenu hawatapenda kuona watoto wao wakidhiaki mtu kumsaidia mama yake!
 
Kaka lemutuz apaswi kukasilika ajue watu wanampenda, leo watu wameamua kumuongelea kwa nn asizungumziwe mtu mwingine huu ni upendo wa dhati kabisa!
 
Mie nilionyeshwa 2010 mama ake nikaambiwa kuwa alipata damage ya ubongo baada ya watoto wake kupata ajari ya ndege,sikuamini maana nilivyomuona na kujua status ya mzee doh,nilimuona pale Mpemba nawahakikishia Le mutuzi hawezi weka picha ya mama ake hapa hii ni kutokana na maisha anayoishi huyu mama ni tofauti ujinga anao ufanya Le mutuz kwenye mitandao!

Hakika..... Yan hili jinga sana anaspend pesa nyingi wakati mama yake anaishi maisha magumu ... Afu analalamika watu wampi sapoti alivyosema mama yake anaumwa ..... Kwani mama yake kaanza kuumwa leo ??? Huyu mwehu kabisa
 
Akwende zake kule asiyeifahamu tunduma ni nani ...... afanye arekebishe nyumba ya mama yake asitake kuleta sifa za kidwanzi anamuacha mama yake anaishi maisha magumu afu analeta ustaa wake humu

Huyu jamaa anapenda sifa z kitoto sana tunduma imejengwa sana nyumba nzuri n lodges nzuri sasa hiyo nyumba y mama yke hata hionekani,mtu kapigia picha dirishani huwezi jua n nyumba au banda.istoshe hujui mbele au nyuma atupie front view y hiyo nyumba tuone itakua kma club y ulanzii.mtu umeenda kwenu unafikia hotel then unakuja n sifa z kichu....pi hpa
 
- Mtaa anaoishi besides Tunduma nzima sijaona nyumba ya standards za Mbezi na Masaki nipo huku sijaiona hata moja, halafu vipi tukiona nyumba za mama zenu wapiga kelele labda itasaidia kujua mnachosema au unasemaje?

Le Mutuz

Le mutuz we ni Bata boy..watu wamejaribu kufikiria show off unazofanya na nyumba ya Mama yako(anapoishi) mbaya zaid ukajibu majibu ambayo hayaendani na mwili wako.. Leave alone ur age..ulitakiwa kuchukua Hilo suala kama changamoto.. Kama now ur mumy yupo mbeya kwa matibabu..uguza pole najua uchungu wa mama,kama unafanya renovation big up mkubwa..lakini walio kushambulia juu ya nyumba ya Mama walitaka uwe active kihivyo na si vinginevyo.
 
- U know nashindwa kuwaelewa nikiwa sipo mnasema maneno mengi kuhusu umri wangu na akili yangu, ambavyo sio siri wote hamuvielewi nawauliza kosa langu ni nini hasa kuja huku kumuuguza Mama yangu, au kosa langu ni kwa nini Mama yangu anaishi kwenye nyumba? au kosa langu ni kwa nini nimemuhamishia Mbeya for medical check up huku naikrabati nyumba yake naomba mniambie kosa langu moja tu linalodaiwa mimi kuwa tofauti na umri wangu ambao hamuujui eti tatizo lenu ni nini hasa?

Le Mutuz

You miss a point, issue sio kuuguza, Kudos kwa kuuguza... issue ni lugha za tinejaz
 
Mkuu hapo umenena..huna haja ya kuiona nyumba ya Mama yangu sababu mimi si kama wewe..sijazaliwa kweny familia ya mwanasiasa,familia haijawahi kunibeba(selfmade),hujawai kuniona mitandaoni nikifanya bottoms up!...nan atajadili kuhusu mama yangu kuishi jumba la udongo?ila bwana Lemutuz ye kama Rick Ross vile..bata kila sehemu..so kuna watu walidhan mama yake
Atakuwa US anakula bata kumbe mama yupo mashokorani..living in a house that doesn't match Lemutuz personality na matumiz...
 
Le mutuz we ni Bata boy..watu wamejaribu kufikiria show off unazofanya na nyumba ya Mama yako(anapoishi) mbaya zaid ukajibu majibu ambayo hayaendani na mwili wako.. Leave alone ur age..ulitakiwa kuchukua Hilo suala kama changamoto.. Kama now ur mumy yupo mbeya kwa matibabu..uguza pole najua uchungu wa mama,kama unafanya renovation big up mkubwa..lakini walio kushambulia juu ya nyumba ya Mama walitaka uwe active kihivyo na si vinginevyo.

Du kumbe ile miaka 30 aliyokaa ulaya jamaa alikua anakuna nazi, imeshakamuliwa watu wamekula chakula na kwenda chooni, ameshindwa kubadilisha maisha ya maza wake.
 
Umeniwahi mkuu!!
1.Miaka 30 ulaya aki-hustle na kupiga deal za kuingiza hela
2.Mtoto wa ex-PM,familia bora
3.Degree 3
4.King of social media ambaye kwa kila dakika anayokaa mtandaoni kujibu post analipwa
Zingatia hayo Hapo juu na ulinganishe na nyumba ya mama,...kuna kitu hakiko sawa somewhere.
 
wewe ni mpumbavu sana

ongea na hao wanaojua Janaweed ni nani, anaishi wapi, anafanya kazi wapi na ana umri gani (hint, umenizidi kwa miaka kumi) etc.

Una miaka hamsini na ushee, mpuuzi unafanya mambo hata akina steve nyerere na ukomedian wao hawawezi, unafanya mambo hayaendani na ndugu zako walka familia yako...

Dont you even sit for a minute na kuwaza how akina seche, tuli na mwele wanajisikiaje wakisoma ungese wako humu kwenye social media?? as a scientist sometimes nawaza hivi ni genes gani umebeba wewe mtu mzee wa over fifty na zaidi ya kiilo 120?? una nyama au mapupu tu??

You should do yourself a favor and behave, for God's sake

Mpuuzi sana wewe mzee

- Mtoto mchanga unayenyonya maziwa ya mama yako na upo JF weka nyumba ya mama yako hapa tuone wacha filimbi maneno mengi weka picha ya nyumba ya mama yako hapa hahahahahahahahah

Le Mutuz
 
Du kumbe ile miaka 30 aliyokaa ulaya jamaa alikua anakuna nazi, imeshakamuliwa watu wamekula chakula na kwenda chooni, ameshindwa kubadilisha maisha ya maza wake.

- hahahahaha ungeweka nyumba ya maza wako kwanza ndio ingekuwa sawa kumbe ulishakunwa hahahahaha sasa unafikiri wote ni kama wewe hahahahaha

Le Mutuz
 
Mkuu hapo umenena..huna haja ya kuiona nyumba ya Mama yangu sababu mimi si kama wewe..sijazaliwa kweny familia ya mwanasiasa,familia haijawahi kunibeba(selfmade),hujawai kuniona mitandaoni nikifanya bottoms up!...nan atajadili kuhusu mama yangu kuishi jumba la udongo?ila bwana Lemutuz ye kama Rick Ross vile..bata kila sehemu..so kuna watu walidhan mama yake
Atakuwa US anakula bata kumbe mama yupo mashokorani..living in a house that doesn't match Lemutuz personality na matumiz...

- hahahahaha mama yako hana nyumba kubali tu anaishi kwenye nyumba ya udongo huwezi kuiweka hapa mama yangu anaishi kwenye nyumba super kule Tunduma ndio maana nimeiweka hapa bila uoga weka ya mama yako hapa kama haikuwa kichekesho hahahahahaha

Le Mutuz
 
Hakika..... Yan hili jinga sana anaspend pesa nyingi wakati mama yake anaishi maisha magumu ... Afu analalamika watu wampi sapoti alivyosema mama yake anaumwa ..... Kwani mama yake kaanza kuumwa leo ??? Huyu mwehu kabisa

- Ni kawaida ya mwehu kuamini wengine wote ni wehu kama yeye, nyumba ya mama yako ipo wapi mkuu weka hapa hahahahahahah

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom