Sina mission fulani ila nimetafsiri ulichoandika,na kuquote ulichoandika,sasa ni wewe tuu ungesema ulikuwa unamaanisha nini ktk hayo maandishi kinyume na nilivyoweza tafsiri.NI wazi si mimii tuu niliyepata hiyo tfsiri ktk ulichoandika hata wakina soma watu wengine ukimuuliza ktk huo mstari ni nani kaitwa mjinga LOwasa au Huyo Jamaa ni wazi utakuwa na watu km mimi wengi.Pengine ungetetea lugha kuliko kunishutumu.To Honest Hii sentence hembu irudie vizuri halafu utende haki. Kuanzia hapo ktk kundi ..kinachoendelea kinamsema Lowasa.Pengine wataalamu wa Lugha waje hapa walitazame hili.Na km lugha kwako ni shida,huku umeshajipambanua kuwa media ndio njia yako.Basi kitakachofuata ni majanga.MBONA UMEANZA JILINDA KWA KUNILAUMU TENA KM ULIVYOANZA KWA KUWAITA WENGINE WANA WIVU...KITU KILICHONIPA ENTRY KTK HII THREAD KWA KUTAKA JUA KWANINI UMECHUKUA NJIA NYEPESI YA KUSEMA KUWA NI WIVU.