Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Ikifika usiku Mama Le mutuz Analala hapa..U know
attachment.php

LE Mutuz hapa......
20150111_063821.jpg

Ahsante Mkuu
 
Hili lijamaa ni litoto kabisa na nina shaka na degree zake iaonekana za kununuliwa......
 
- Nilitegemea nikija hapa nitakuta watu wameweka nyumba za mama zao kuonyesha how serious they are, badala yake ni kelelel tu za mlango weka nyumba ya mama yako hapa tuone hahahahahahaa kama haikuwa huzuni hapa hahahahaha

Le Mutuz

I see so simply bcause nyumba za hapo zina low standard ndo ya mama ako iwe hovyo?? Shame on U, so wakituma watu picha za nyumba za mama zao zikawa mbaya au zinazolingana na za mama ako itakufanya uone wat u did is enaf??? Daamn so nyumba za hapo zingekua za matope na nyasi na ww ungelinganisha nazo?? Maskin ya Mungu, then kabisaa proudly enaf unakaa unasema nyumba yake ni nzuri kwa standard za Tunduma?? Kama ulivyo nankiherehere cha kupiga picha kwenye nyumba za watu na ya baba ako basi ungeendeleza hiko kiherehere cha kupiga picha nyumba yote ya mama ako tuone kama haijawekewa miti ya kuisuport isidondoke, then unasema kuna udongo mwekundu, so ACADEMICALLY udongo mwekundu ndo umefanya nyumba iwe na ufa na iwe katika hali mbaya?? Kubali kuna makosa, rekebisha
 
- Ok now hebu tumia akili just for once unaumiza misuli na mtu unayemuita haya majina sasa wewe unakuwa nani mkuu ndio mana nasema wewe huna akili kabisa masikini wa Mungu na hujitambui pole sana mimi sio size yako kijana mdogo 3 Degree sio mchezo nenda ujipange tena!!

Le Mutuz

Teheee... kijana mdogo... DEAD 😱😷
 
Now I see why this dude likes to befriend little kids (Lulu et al). Nasubiri tu kuona picha zake za kujipikisha na vifuu huku akicheza makida makida na watoto wa watu mtaani at 50 something years old.
 
Hili lijamaa ni litoto kabisa na nina shaka na degree zake iaonekana za kununuliwa......

Mwenzenu anatengeneza hela mnabaki kumtukana.Hiyo ni style yake ya maisha mradi havunji sheria za nchi.Mnavyofungua ma thread ndio anazidi kupaa.Jamaa ana hisa hadi humu jAMII FORUMS.

Kila la heri LE MUTUZ
 
Mhhh lemutuz asiyeijua tundumaa nani ya mama ako ndo mbaya kuliko zote hahaha ukute akili zako ziko hivyo ukute mamaako kanuna kimya kimya huku we akili inakuchomoka Mona baada ya nyingine haha
 
Mhhh lemutuz asiyeijua tundumaa nani ya mama ako ndo mbaya kuliko zote hahaha ukute akili zako ziko hivyo ukute mamaako kanuna kimya kimya huku we akili inakuchomoka Mona baada ya nyingine haha
 
I see so simply bcause nyumba za hapo zina low standard ndo ya mama ako iwe hovyo?? Shame on U, so wakituma watu picha za nyumba za mama zao zikawa mbaya au zinazolingana na za mama ako itakufanya uone wat u did is enaf??? Daamn so nyumba za hapo zingekua za matope na nyasi na ww ungelinganisha nazo?? Maskin ya Mungu, then kabisaa proudly enaf unakaa unasema nyumba yake ni nzuri kwa standard za Tunduma?? Kama ulivyo nankiherehere cha kupiga picha kwenye nyumba za watu na ya baba ako basi ungeendeleza hiko kiherehere cha kupiga picha nyumba yote ya mama ako tuone kama haijawekewa miti ya kuisuport isidondoke, then unasema kuna udongo mwekundu, so ACADEMICALLY udongo mwekundu ndo umefanya nyumba iwe na ufa na iwe katika hali mbaya?? Kubali kuna makosa, rekebisha

- Maneno mengi kama mama yako ana nyumba nzuri kuliko mama yangu ungeiweka hapa huwezi ina maana hana nyumba nyamaza mkuu unapiga kelele za bure, hapa ninaweza kumsikiliza only atakayeweka nyumba ya mama yake bora kuliko hahahaha U know!!

Le Mutuz
 
Mwenzenu anatengeneza hela mnabaki kumtukana.Hiyo ni style yake ya maisha mradi havunji sheria za nchi.Mnavyofungua ma thread ndio anazidi kupaa.Jamaa ana hisa hadi humu jAMII FORUMS.

Kila la heri LE MUTUZ
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Thank you leo nimesaini mkataba mpya wa kuitangaza One Extreme Solutions TZ online kwa miaka 2 kutokana na mambo kama haya ya kunipaisha I love it!!

Usikute ulienda kuomba Msaada kama kawaida yako
Either way hongera
 
Hivi Le mutuz una matatizo gani wew jitu zima. Jenga hata room na sebule uhame kwenu jitu zima ovyo kazi kupiga nyumba za watu picha my friends car u knw. Wanakuona punguani hujiongezi tu wew
 
- Whaaaat eti sijakuelewa unasema ninakaa wapi? na kwa nani? hahahahaha punguani mtu ninakaa kwangu downtown? hahahaha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom