Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
- Whaaaat eti sijakuelewa unasema ninakaa wapi? na kwa nani? hahahahaha punguani mtu ninakaa kwangu downtown? hahahaha

Le Mutuz
mkuu miaka 30 nje umeshindwa kumjengea maza nyumba ya maana!! haujachelewa bado faanya sasa sio kubisha tu hata ukiambiwa ukweli.
 
mkuu miaka 30 nje umeshindwa kumjengea maza nyumba ya maana!! haujachelewa bado faanya sasa sio kubisha tu hata ukiambiwa ukweli.

- hahahaha unegonyesha nyumba ya mama yako kwanza kwa miaka yote uliyokaa bongo ndio ungekuwa na haki ya kulilia nyumba za mama wa wengine, kama huwezi kuonyesha nyamaza tu hahahahaha

Le Mutuz
 
Jamaa kila cku anamek money ila still hata ki2 promo nyingi maisha yke kudandia 2

- Maisha ya kudandia na ofisi mpya niliyonayo sasa downtown nimeidandia kwa nani mkuu? hahahahahahaha so na hii nyumba ninayoishi mjini hapa ni ya kudandia NHC si ndio? hahahahahaha

Le Mutuz
 
- Jamani samahani sana nilikuwa nimeitwa Cocacola kupokea zawadi ya kopo lenye jina langu ambalo litaanza kuuzwa madukani hivi karibuni ndio maana sikuwepo U know!! Le Mutuz
Kweli kuna shida..?Umepewa zawadi ya Coke yenye jina lako?Unaaanisha nini hapa kuwa zawadi ni Coke au ni jina lako kuwepo?Kuwepo kwa jina ni zawadi kwako kupata sifa na si issue ya kibiashara unayoweza ifanya vyema?Turudi upande wa pili unadhani wewe ume play role gani ktk hii issue?Wewe ni maarufu ktk nini marketable?
 
- Lakini ukapoteza muda wako wote kunitafuta ili nijiunge na kundi lako la Lowassa mtu asiye na akili sawa sawa? hahahahahahahahahah huwa unanifurahisha sana!! Le Mutuz
Mzee una ujasiri unamwita LOWASA HANA AKILI huku ukiwa ktk CCM bila kuwa na ground zozote za kumwita mjinga.Chonde chonde,ungetakiwa upate sababu na paltform ya kusema hayo .Ila hapa ktk hii thread umeteleza mbaya.
 
- Mkuu naona una mission flani hivi unachosema sio nilichosema huyu bwana amewahi kuja kunitafuta siku nzima nikamkubalia akanipeleka kwenye kambi yake ya urais ya Lowassa, akanitambulisha kwa watu wake pale Helenic Club nikamwambia mimi sina tatizo kusikiliza hoja zao nikawasikiliza nikaondoak, the next thing I know yupo hapa ananitukana na in this case alisema sina akili sawa sawa sasa ndio nimemuuliza eti mimi sina akili sawa sawa lakini ulinifuata kuniomba nijiunge na kundi lako vipi? please acha kubadilisha habari sina ugomvi na Lowasa na wala sipo kundi lolote la urais!1

Le Mutuz
 
Kweli kuna shida..?Umepewa zawadi ya Coke yenye jina lako?Unaaanisha nini hapa kuwa zawadi ni Coke au ni jina lako kuwepo?Kuwepo kwa jina ni zawadi kwako kupata sifa na si issue ya kibiashara unayoweza ifanya vyema?Turudi upande wa pili unadhani wewe ume play role gani ktk hii issue?Wewe ni maarufu ktk nini marketable?

- so far najua hili kopo limenipatia mikataba 2 mikubwa ya pesa, that is all na bado natafuta mikataba mingine kwa kulitumia kopo hilo hilo!1

Le Mutuz
 
- Mkuu naona una mission flani hivi unachosema sio nilichosema huyu bwana amewahi kuja kunitafuta siku nzima nikamkubalia akanipeleka kwenye kambi yake ya urais ya Lowassa, akanitambulisha kwa watu wake pale Helenic Club nikamwambia mimi sina tatizo kusikiliza hoja zao nikawasikiliza nikaondoak, the next thing I know yupo hapa ananitukana na in this case alisema sina akili sawa sawa sasa ndio nimemuuliza eti mimi sina akili sawa sawa lakini ulinifuata kuniomba nijiunge na kundi lako vipi? please acha kubadilisha habari sina ugomvi na Lowasa na wala sipo kundi lolote la urais!1 Le Mutuz
Sina mission fulani ila nimetafsiri ulichoandika,na kuquote ulichoandika,sasa ni wewe tuu ungesema ulikuwa unamaanisha nini ktk hayo maandishi kinyume na nilivyoweza tafsiri.NI wazi si mimii tuu niliyepata hiyo tfsiri ktk ulichoandika hata wakina soma watu wengine ukimuuliza ktk huo mstari ni nani kaitwa mjinga LOwasa au Huyo Jamaa ni wazi utakuwa na watu km mimi wengi.Pengine ungetetea lugha kuliko kunishutumu.To Honest Hii sentence hembu irudie vizuri halafu utende haki.
- Lakini ukapoteza muda wako wote kunitafuta ili nijiunge na kundi lako la Lowassa mtu asiye na akili sawa sawa? hahahahahahahahahah huwa unanifurahisha sana!! Le Mutuz
Kuanzia hapo ktk kundi ..kinachoendelea kinamsema Lowasa.Pengine wataalamu wa Lugha waje hapa walitazame hili.Na km lugha kwako ni shida,huku umeshajipambanua kuwa media ndio njia yako.Basi kitakachofuata ni majanga.MBONA UMEANZA JILINDA KWA KUNILAUMU TENA KM ULIVYOANZA KWA KUWAITA WENGINE WANA WIVU...KITU KILICHONIPA ENTRY KTK HII THREAD KWA KUTAKA JUA KWANINI UMECHUKUA NJIA NYEPESI YA KUSEMA KUWA NI WIVU.
 
- so far najua hili kopo limenipatia mikataba 2 mikubwa ya pesa, that is all na bado natafuta mikataba mingine kwa kulitumia kopo hilo hilo!1 Le Mutuz
Sijakataa ila mkataba wako hujausema na wasanii wana mashaka umepiga dili ya kuwaingiza line.Sasa nikuulizacho hapa ukijibu vyema pengine nao watakuwa na imani na wewe ili wakufuate.
 
Le mutuz pia bila kumtete Alberto ambaye anajulikana.Una historia ya majibu mepesi sana na mara nyingi huwa yanapingana na majibu mengine yaliyopita as long as una faida ya haraka bila kujali hasara.Ktk thread yangu ya uhuni na wizi wa NSSF ulikuwa mwepesi sana kusema ni Agenda ya CDM kuhujumu mashirika.Sasa hapa nakutajia kuwa ulishawahi mfagilia Zitto na Msando sasa unasema kuwa ni hovyo.Unadaia ni siasa huoni yanapingana sana mambo yako mengine?
 
Sina mission fulani ila nimetafsiri ulichoandika,na kuquote ulichoandika,sasa ni wewe tuu ungesema ulikuwa unamaanisha nini ktk hayo maandishi kinyume na nilivyoweza tafsiri.NI wazi si mimii tuu niliyepata hiyo tfsiri ktk ulichoandika hata wakina soma watu wengine ukimuuliza ktk huo mstari ni nani kaitwa mjinga LOwasa au Huyo Jamaa ni wazi utakuwa na watu km mimi wengi.Pengine ungetetea lugha kuliko kunishutumu.To Honest Hii sentence hembu irudie vizuri halafu utende haki. Kuanzia hapo ktk kundi ..kinachoendelea kinamsema Lowasa.Pengine wataalamu wa Lugha waje hapa walitazame hili.Na km lugha kwako ni shida,huku umeshajipambanua kuwa media ndio njia yako.Basi kitakachofuata ni majanga.MBONA UMEANZA JILINDA KWA KUNILAUMU TENA KM ULIVYOANZA KWA KUWAITA WENGINE WANA WIVU...KITU KILICHONIPA ENTRY KTK HII THREAD KWA KUTAKA JUA KWANINI UMECHUKUA NJIA NYEPESI YA KUSEMA KUWA NI WIVU.

- Well, please nakuomba ubaki na tafsiri unayoitaka kwamba nimesema Lowassa ni mjinga, ok so what kaka unafikiri ninaogopa? mbona unakuwa kama mjinga keep that tafsiri ok na hao unaosema mmenielewa hivyo I do not givea damn!!

Le Mutuz
 
Le mutuz pia bila kumtete Alberto ambaye anajulikana.Una historia ya majibu mepesi sana na mara nyingi huwa yanapingana na majibu mengine yaliyopita as long as una faida ya haraka bila kujali hasara.Ktk thread yangu ya uhuni na wizi wa NSSF ulikuwa mwepesi sana kusema ni Agenda ya CDM kuhujumu mashirika.Sasa hapa nakutajia kuwa ulishawahi mfagilia Zitto na Msando sasa unasema kuwa ni hovyo.Unadaia ni siasa huoni yanapingana sana mambo yako mengine?

- Huwa ninafagilia Zitto lakini sio huyo Mwanahseria uchwara never!1

Le Mutuz
 
- Huwa ninafagilia Zitto lakini sio huyo Mwanahseria uchwara never!1 Le Mutuz
You are revolving around a circle..bro.Km jamaa ni uchwara ,na unayemfagilia anamwona ndie best na ndio aliyemwakilisha mahakamani hadi leo anabaki na ubunge wa mahakama.Hiyo logic ina ring vipi?Kumbuka unavyojibu maswali kwa kulinganisha mapana ya mambo na kuweza switch kunaweza wapa imani kuwa unajua unachokifaya.Otherwise unaweza taja figure kubwa sana za hela ila si lazima ukawa ukawa winner in those deals.Badala yake unaweza ishia uza vitu vinavyohusu wengine.Na very soon ukarudi kuwa looser km wengine ,huku ukibaki jitetea kwa sababu ndogo sana km BORA MIMI NILIFIGHT,SIJUI MIMI MAHALI NIMEFIKA NYIE AHAMJAFIKA.
 
- Well, please nakuomba ubaki na tafsiri unayoitaka kwamba nimesema Lowassa ni mjinga, ok so what kaka unafikiri ninaogopa? mbona unakuwa kama mjinga keep that tafsiri ok na hao unaosema mmenielewa hivyo I do not givea damn!! Le Mutuz
Kumbe matusi ni tabia yako,naona umeamua niita na mimi mjinga bila kutetea ulichosema na tafsiri yake.Kisha ukatumia ugumu wa kujibu kuhalalisha kuwa hujali hata km inamaaanisha hivyo.Kwanini usingesema mapema tuu ulikuwa ukimaanisha hayo.Sababu zako kwangu haziwezi kusaidia mbele ya Lowasa na Baba yako kwanini Umeamua mtukana mzee wa watu au of context .KWA TAARIFA YAKO ,CDM HUWA WANA MANENO MAKALI NA YA WAZI ILA HARDLY UTAKUTA MATUSI DHIDI YA HATA WATUKANA MATUSI WA CCM.LOWASA ANA SHIDA ZAKE NA MAKUBWA YAKE,NA KTK WALIO WA CHADEMA HATUONI TOFAUTI YAKE NA WAPONDA NCHI WA CCM.ILA HARDLY TUKAMTUKANA FROM NOWHERE. Kwa mwendo huu inaonyesha baada ya COCACOLA next big deal unaweza tembea juu ya vichwa vya watu .KIONGOZI MKUBWA MARA NYINGI HUJIZUIA SANA KUTOA MATUSI HATA KWA KUZUIA NENO KABLA HALIJAPITA LIPS.NIKIMAANISHA HATA PALE MPUUZI ANAKUUZI HADI MWISHO.
 
- ok wewe na Lowasa wote ni wajinga how about that? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Thank you leo nimesaini mkataba mpya wa kuitangaza One Extreme Solutions TZ online kwa miaka 2 kutokana na mambo kama haya ya kunipaisha I love it!!

Le Mutuz

Mpaka tutakapojuwa nguvu ya social media tutakuwa tumeshachelewa sana..Kuna watu eti wanaandamana wanataka wapewe kazi na JKT WAKATI WAMEFUNDISHWA UFUGAJI WA KISASA.Songa mbele kaka
 
- ok wewe na Lowasa wote ni wajinga how about that? hahahahahahaha Le Mutuz
Najua ilikuwa desire yako kusema hivyo.Ulikuwa unajibaraguza tuu.Ila very quick umeshajump ktk matusi.Haha..ningekujibu kijinga km wewe ungeenza jitundika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom