Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi huyu jamaa namuona ni kubwa jinga, lakini simlaumu yy moja kwa moja bali hata wale waliomlea tangu akiwa mdogo ndo makosa yalianzia huko. Kumbuka mtoto umleavyo ndivyo atakavyokua...inafika mahali ht yy anawalaumu wazazi wake ni kwanini hawakumpa malezi mazuri awe km binadamu wengine. Pole sana William Malecela,
pia ile id ya holygrail watu walishamshutukizia tena wa kwanza kumshutukizia alikuwa mtazamtazamoAlikuwa anajiitaga fmes sauti ya umeme wataalam wetu hapa wakamshutukia akabadili.
Kaazi kwelikweli.
Sasa nimekubaliana na wale wanajitahidi kumrekebisha hapa jukwaani akina Matola, stata mzuka, Kim nana Muuza Sura na wengine endeleeni kumfunza
Huyu diaspora!!
Halafu Yuko UVCCM etiii....Kuanzia chipukizi wa TANU hadi Leo yuko umoja wa vijana, umri wake umeganda....
Yeye na Kingunge bado wapo uvccm.