Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.

- Yaaani mtaongea mwisho mtajisema mambo yenu wenyewe bila kuulizwa unaona badala ya nyumba ya mama ona ulichojivua nacho mwenyewe kumbe ndio maana unalili nyumba za mama wa wengine badala ya kuweka yako? hahahahaha

Le Mutuz
 
Mpuuzi ni kumuacha na upuuzi wake tatizo lako unataka usifiwe na vitu vya ajabu ajabu

Sio kila ki2 utasifiwa na ukiwa mpenda sifa mwisho wke mbaya,hivi kuweka dirisha l nyumba then unasema nyumba y mama yko ina sound kua hakuna nyumba ni banda 2 kma la marehemu bi kidude.nyumba huwa inapigwa picha frontview sio dirisha l kichochoroni
 
Sio kila ki2 utasifiwa na ukiwa mpenda sifa mwisho wke mbaya,hivi kuweka dirisha l nyumba then unasema nyumba y mama yko ina sound kua hakuna nyumba ni banda 2 kma la marehemu bi kidude.nyumba huwa inapigwa picha frontview sio dirisha l kichochoroni
\

- Ungeweka ya mama yako kwanza ingekuwa Super sana maana una maneno mengi hewa tupu hahahahahaah unafikiri mchezo kumjengea mama nyumba kwa mjinga kama wewe hahahahahaha

Le Mutuz
 

Davis Mosha ni Mungu?? We mpumbavu Davis nimeanza kumjua tangia akiwa na hustles zake pale Moshi gorofani.. Na ndio maana kila December akirudi nyumbani lazima apite pale stand kuwaona makachaa wake aliowaowaacha.. Nenda kamuulize anaijua sana hii surname. Na Moshi Sikai kibololoni, kwetu Machame paka wewe. Kujuana na Davis unaona ni bonge la bahati kukutokea maishani mwako eeh..
 

- Davis Mosha humjui please weka nyumba ya mama yako kwanza Davis humjui na hakujui kaka wacha sifa za kitoto weka nyumba ya mama yako hapa tuone ukweli hahahahaha kama haikuwa aibu!!

Le Mutuz
 

Kwa maelezo yako haya nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako babu yangu le mutuz!

Kimsini naweza kuwa mjukuu wako, ila nadhani mpaka sasa kwa kibarua changu cha kuganga njaa hiki nilichopata mwaka 2010 nimemfanyia mengi makubwa mama yangu ambayo hata yeye hakuwahi kuimagine hapo awali.

Nimeanza kumjengea mama nyumba bora na ya kisasa mwaka huu. Tizama picha hapa.

Trust me babu angu, I got genuine and unconditionaly love na mama yangu at my late 20 age naanza kumfanyia haya mama yangu...it definetely give me a great joy to such sweet togetherness na mama yangu....na ndio sikumaliza chuo, wala kwenda marekani wala kuingia kwenye CCM.

C'moon le mutuz u can do this sir!
 

Attachments

  • 1421007509283.jpg
    103.8 KB · Views: 559
  • 1421007526559.jpg
    86.3 KB · Views: 244
- Davis Mosha humjui please weka nyumba ya mama yako kwanza Davis humjui na hakujui kaka wacha sifa za kitoto weka nyumba ya mama yako hapa tuone ukweli hahahahaha kama haikuwa aibu!!

Le Mutuz

Hahaha ama kweli unapika na kupakua na Davis...
 


- HAHAHAHAHAHAHAHA unasema hii ndio nyumba ya mama yako wapi hiyo hahahahahahahahah jamani unaona wapiga kelele hahahahahaa umenivunja mbavu yaani msingi wa Shule ya Msingi ndio unasema nyumba ya mama yako sasa hapo anaishi wapi kaka? hahahahahahahahahahah

Le Mutuz
 
Hahaha ama kweli unapika na kupakua na Davis...





- Wewe sasa unajisema mwenyewe mambo yako yan kupakuliwa hahahaah ona nyumba ya mama wa mwenzako hii hahahahahahahahahahahahah sasa eti mama yake anaishi wapi now? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
kavurugwa huyo le tumboz eti tundumanzima iyo ndio nyumba nzuri huoni aibu kusema uongo kweli huyu UVCCM kadumaa

- Wewe mwenzako kaweka nyumba ya mama yake wewe yako ipo wapi U know hahaha kumbe umevurugwa? hahahahahahahah

Le Mutuz
 
Le mutuz amesema nyumba ya mama yake haina hadhi ya kuishi yeye hivyo amefikia hotel ya five star
 
Le mutuz amesema nyumba ya mama yake haina hadhi ya kuishi yeye hivyo amefikia hotel ya five star

- Mimi nakaaa Mbeya mama yangu anaishi Tunduma nimemuhamishia hapa mpaka ukarabati utakapoisha, niambie hoteli ya maana Tunduma ni ipi kaka?

Le Mutuz
 

Shule ya msingi iko wapi hapo sasa.. Kaanza kujenga mwaka huu which means tangia ameianza hazijapita hata siku 10. He is still on 20's.. Wewe unakaribia umri wa kustaafu ndio leo baada ya kupigwa maneno anadanganya una renovate nyumba.. Mpumbavu ww.. Kwahiyo umekuja kukumbuka mama anakaa bandani baada ya mama kuumwa
 

Naona unajifariji kwa kicheko cha nyuma ya keyboard! Ila najua unaumia ndani kama una busara!

Nakuhaidi nitamjengea mama yangu nyumba murua saana maana nimeanza sasa.

Mama yangu ndio sababu hata natafuta hela..kuna watu lukuki hawana mama na wangetaka kuwa na mama zao ili atleast walipe fadhila.

Please!!! Promise kama kweliutamjengea mama nyumba na kuleta mrejesho hapa. Please!!
 

- Wewe unasema ile ni nyumba au pagalo la kufugia nguruwe nyumba haiona kifusi wala Cement chini wala zege ni nyumba ndio maana ninasema nyinyi mna kelele za mlango now nijibu mama yake now anaishi wapi mpaka hilo pagalo la Shule litakapoisha? hahahahahahaha

Le Mutuz
 

- Ninacheka kwa sababu mama yako hana nyumba kama ya mama yangu angekuwa nayo ungeshaiweka hapa, sasa nacheka kwa sababu unazidi kujichafua na matope badala ya kuweka nyumba ya mama yako, mama yangu is fine sio kam a mama yako ok!! hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…