Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Ndio maana Mimi sipendi umaarufu mitandaoni sababu unakufanya uishi fake life.kila siku le mutuz anajidai kuwasaidia watu wakati mama yake anaishi maisha ya shida.kila siku yupo bize kupiga picha na wadada na kuwasifia insta lakini hata siku moja hajawahi kuweka picha na mama yake akimsifia.
Ndio maana pamoja na mapungufu yake namkubali sana diamond kwa tabia anayoionyesha kwa mama yake

Gud thinking mkuu
Huu umaarufu mavi unamponza sana huyu mavi
 
Yaani mi ndio nazidi kumpenda hahahahahaahha nazimia Le Tamkozzz Baby ! uwiiii :A S-heart-2::A S kiss:
 
Gud thinking mkuu
Huu umaarufu mavi unamponza sana huyu mavi

- Umaarufu tena badala ya kuweka nyumba ya mama yako, umaarufu ndio unanilipa mjinga wewe hahahahahahaha halafu ni lugha za mtu ndio zinajisema ni wa aina gani hebu jisome tena hasa red huoni kuwa ni mjinga flani hivi hahahahah

Le Mutuz
 
Yaani mi ndio nazidi kumpenda hahahahahaahha nazimia Le Tamkozzz Baby ! uwiiii :A S-heart-2::A S kiss:

- Wanashindwa kuweka nyumba za mama zao wanalia lia kama mburulazzzz unakuwaje na right ya kulilia nyumba za wengine ya mama yako huwezi kuweka hahahahahaha

Le Mutuz
 
Let the man live his life. It's natural wote hatuwezi kuwa na uwezo au interest sawa. In any case why then follow him on social media? Ndo Maisha kayachagua. Tuheshim maamuzi take as long as hayatuathiri kwa namna nyingine.
Maamuz gani sasa ya kujishebedua au?
 
Nakata gogo hapa hadi tarime

- Panda Fastjet uje ukae 5 star Hotel kama unaweza kama mimi, huwa sina maneno mengi ni mtu wa matendo zaidi U know ndio maana nasema Jumanne ninawahi kusaini mkataba mzito wa 2 years na kampuni mpya ya USa hapa bongo kisa na mkasa ni mambo kama haya yaani nikikohoa tu page 11 Viewers 11,000 ndio maana ya Celebrity

Le Mutuz
 
huyu jamaa lemutu nilikuwa namfagilia kumbe kimeo tu. nimegundua leo kuwa kaniblock kule insta kisa hapendi challenge. dikteta huyu anayejificha kwenye matiti ya wanawake. mburulaz kabisa!
 
- Vipi ukiweka banda la mama yako hapa mjini kwanza ndio uzngumze maana la mama yangu lipo powa sana na kunampaka wapangaji, sasa kweli mjini kama Tunduma unaweza kuwa na Wapangaji na nyumba mbovu? hahahahahahah Tunduma kuna udongo mwekundu na vumbi hata nyumba iwe nzuri vipi rangi itakuwa nyekundu na ya udongo, now weka ya mama yako hapa kaka ndio nitaamini kwamba kwako hii ya mama yangu haifai ama sivyo nyamaza tu kaka wacha sisi wanaume tuhangaike na maisha na ya mama zetu ok, hahahahahaha

Le Big Show

Thamahani bwana seleburiti lemutuz
Hivi ulikua wapi kuikarabati mpaka leo hii anaumwa?hongera though
 
huyu jamaa lemutu nilikuwa namfagilia kumbe kimeo tu. nimegundua leo kuwa kaniblock kule insta kisa hapendi challenge. dikteta huyu anayejificha kwenye matiti ya wanawake. mburulaz kabisa!

Jamaa ni dikteta mno
 
huyu jamaa lemutu nilikuwa namfagilia kumbe kimeo tu. nimegundua leo kuwa kaniblock kule insta kisa hapendi challenge. dikteta huyu anayejificha kwenye matiti ya wanawake. mburulaz kabisa!

- Wewe hukufundishwa kwenye jando mambo ya Isntagram hayaji huku yanabaki kule kule hii ni JF le mburulazzz nyamaza sio mahali pako hapa!!

Le Mjutuz
 
- Wewe hukufundishwa kwenye jando mambo ya Isntagram hayaji huku yanabaki kule kule hii ni JF le mburulazzz nyamaza sio mahali pako hapa!!

Le Mjutuz

Nilikuuliza una miaka mingapi ukaniblock
 
Jamaa ni dikteta mno

- Ule ni uwanja wa biashara zangu kubwa sio ujinga ujinga ukiandika ujinga nakuondoa umeona sasa unajuta maana una miss my swaggazz mimi sikujui wala sijaku follow wewe ndio unafollow kila mahali ina maana mimi big Celeb au unasemaje?

Wewe ni big celeb lakini hupendi kukosolewa.na ndio maana kwa kujijua ukakimbia siasa maana hupendi kuambiwa mabaya yako
 
Wewe ni big celeb lakini hupendi kukosolewa.na ndio maana kwa kujijua ukakimbia siasa maana hupendi kuambiwa mabaya yako

- Sijawahi kukimbia siasa hata siku moja sijawahi kukimbia Social Media cause all my investments zipo huku, huna ishu against me ndio maana unahangaika sana umejaa chuki na wivu maana unajua kwamba mimi sio sawa na wewe, weka nyumba ya mama yako hapa ndio utakuwa na haki ya kulaumu za wengine kipi kigumu hapo?

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom