William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwann Davis Mosha?
Wanahusiana nn
- Jamaa na shida ya kuwa rafiki na Davis Mosha maana anamilia sana kwenye hii thread kwamba anamjua sana hahahahahahaha
Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann Davis Mosha?
Wanahusiana nn
Hehehehej nimecheka kama kichaaa aisee
Ndio maana Mimi sipendi umaarufu mitandaoni sababu unakufanya uishi fake life.kila siku le mutuz anajidai kuwasaidia watu wakati mama yake anaishi maisha ya shida.kila siku yupo bize kupiga picha na wadada na kuwasifia insta lakini hata siku moja hajawahi kuweka picha na mama yake akimsifia.
Ndio maana pamoja na mapungufu yake namkubali sana diamond kwa tabia anayoionyesha kwa mama yake
Gud thinking mkuu
Huu umaarufu mavi unamponza sana huyu mavi
Yaani mi ndio nazidi kumpenda hahahahahaahha nazimia Le Tamkozzz Baby ! uwiiii :A S-heart-2::A S kiss:
Maamuz gani sasa ya kujishebedua au?Let the man live his life. It's natural wote hatuwezi kuwa na uwezo au interest sawa. In any case why then follow him on social media? Ndo Maisha kayachagua. Tuheshim maamuzi take as long as hayatuathiri kwa namna nyingine.
When I grow up i want to be like Lemutuz
Maamuz gani sasa ya kujishebedua au?
Nakata gogo hapa hadi tarime
- Vipi ukiweka banda la mama yako hapa mjini kwanza ndio uzngumze maana la mama yangu lipo powa sana na kunampaka wapangaji, sasa kweli mjini kama Tunduma unaweza kuwa na Wapangaji na nyumba mbovu? hahahahahahah Tunduma kuna udongo mwekundu na vumbi hata nyumba iwe nzuri vipi rangi itakuwa nyekundu na ya udongo, now weka ya mama yako hapa kaka ndio nitaamini kwamba kwako hii ya mama yangu haifai ama sivyo nyamaza tu kaka wacha sisi wanaume tuhangaike na maisha na ya mama zetu ok, hahahahahaha
Le Big Show
huyu jamaa lemutu nilikuwa namfagilia kumbe kimeo tu. nimegundua leo kuwa kaniblock kule insta kisa hapendi challenge. dikteta huyu anayejificha kwenye matiti ya wanawake. mburulaz kabisa!
huyu jamaa lemutu nilikuwa namfagilia kumbe kimeo tu. nimegundua leo kuwa kaniblock kule insta kisa hapendi challenge. dikteta huyu anayejificha kwenye matiti ya wanawake. mburulaz kabisa!
Thamahani bwana seleburiti lemutuz
Hivi ulikua wapi kuikarabati mpaka leo hii anaumwa?hongera though
- Wewe hukufundishwa kwenye jando mambo ya Isntagram hayaji huku yanabaki kule kule hii ni JF le mburulazzz nyamaza sio mahali pako hapa!!
Le Mjutuz
Nilikuuliza una miaka mingapi ukaniblock
Jamaa ni dikteta mno
- Ule ni uwanja wa biashara zangu kubwa sio ujinga ujinga ukiandika ujinga nakuondoa umeona sasa unajuta maana una miss my swaggazz mimi sikujui wala sijaku follow wewe ndio unafollow kila mahali ina maana mimi big Celeb au unasemaje?
Le Mutuz
Wewe ni big celeb lakini hupendi kukosolewa.na ndio maana kwa kujijua ukakimbia siasa maana hupendi kuambiwa mabaya yako