MUUNGANO DAY26/04/2018
Yaaani awamu hii imemnyima hata udc tu!!Ukiangalia kwa makini jamaa na hasira ya mambo mengi sana na hii serikali
Sema basi tu
cc WakudadavuwaNilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Wanaozani wanamzima Diamond kumbe ndo wanampa kiki[emoji13]kiki imekamilika everywhere diamond
tehe tehe tehe shikamoo jfLemutuz mzee kijana mwenye bamia
Hakuna thorough vetting Tz ya leo ni utashi tu wa kiongoziNilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Marhabaa kwa niabatehe tehe tehe shikamoo jf
kweli kabisa mkuuNilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Naunga mkono hooksNilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Hakuna thorough vetting Tz ya leo ni utashi tu wa kiongozi
Hahahahahahha...i bet ukimwona ile pict inakujiaTangia nimfahamu Mfalme wa vibamia Leo ndo kaongea point
Huyu aliteuliwa ili kuikomoa chademaNilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.