Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Fact, redio inayowafungia wasanii kwa sababu kuu ya unyonyaji leo ndo wazir aende kuhojiwa huko
Kama si vituko ni nn???

Ndio maana hao clouds wanashadadia maana wao wenyewe hufungia nyimbo za watu tena bila sababu ya msingi tena bora basata kuliko hao wanaojikuta miungu watu
 
Nilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Nnakuunga mkono kabisaaa
 
Mange ana akili sana alishaona jinsi Bashite na hao kina diamond wanavyo jaribu kupoteza mjadala wa 26/4
Mnawazaje sijui, kwa hyo kisa tar26 ndo watu waonewe??

HIVI MTU ukisema unataka uandamane kutafuta haki yako. kwa mwenzio haibaki kua haki maigizo???

Mpaka huu ujinga siku ukitoka basi ndo tutakua akili moja
 
29092902_1895302540480334_6400086954255319040_n.jpg
 
Dada wa taifa akiwa anasoma haya mabifu anacheka kihutu tu, mana wote wanaogombana hawapendi, maadui zake yani...
Hapana.. Dada wa taifa hawezi kufurahia haya yanayoendelea kwasababu yapo kwajili yakutuoa kwenye reli ya 26.4
 
Nafurahi kuona mziki wa taarabu ukirudi kwa namna nyingine
 
Watanzania ni waajabu sana mtu akidai haki yake ooooh katumwa na mtu yaani daah tuna safari ndefu sanaaa
 
Msimamo wa lemutuz ni msimamo wa bashite
Ki Msingi LE! kaona katika hawa Manaibu wawili, Mmoja ni Naibu Mkubwa zaidi kuliko Mwengine ingawa hayuko officially so bora awe upande wake.
 
Hivi kwenye interview ile ni wapi Clouds walimshambulia Diamond? ni kweli mlisikiliza ile interview?
 
Nilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Uko sahihi Gentamycine.
 
Back
Top Bottom