johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ova!Lumumba wanaumana wenyewe kwa wenyewe
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ova!Lumumba wanaumana wenyewe kwa wenyewe
Ova
Nnakuunga mkono kabisaaaNilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Mnawazaje sijui, kwa hyo kisa tar26 ndo watu waonewe??Mange ana akili sana alishaona jinsi Bashite na hao kina diamond wanavyo jaribu kupoteza mjadala wa 26/4
Hapana.. Dada wa taifa hawezi kufurahia haya yanayoendelea kwasababu yapo kwajili yakutuoa kwenye reli ya 26.4Dada wa taifa akiwa anasoma haya mabifu anacheka kihutu tu, mana wote wanaogombana hawapendi, maadui zake yani...
Uko sahihi Gentamycine.Nilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.