KabisaAngalau wenzetu wana ile mtu kazidiwa unapiga ile namba ya emergency wanakuuliza amepatwa na nini unaeleza wanakupa tips za kufanya ukiendelea kusubiri huduma ya kupelekwa hospitali.
Sisi huku hatuna na wala hatujui.
Serikali na wadau wa elimu wangeingiza hii watu wajifunze mashuleni kama somo la huduma ya kwanza angalau tuwe na tips chache za kusaidia mpaka nchi itakapokuwa na uwezo kama wenzetu.
Waafrica tulikwisha kata tamaa ya maisha kwa sababu ya ujinga na umaskini. Kufariki dunia ni natural, Ila ni wajibu wa binadamu kukichelewesha kifo.
Vifo vingi vinavyotupata Watz, vinatupata prematurely na Vinaweza kuzuiwa.
Huduma za kwanza zinafundishwa shule ya msingi sema watoto hawazingatii ni mchezo mwingi na hata form one somo la Biology ila wengi wanakuwa hawaelewi muda huo wanakremu tuYah,kwa tuliyopitia ubaharia na kuwa sehemu fulani fulani hii kitu tumefundishwa sana
Na tunaimudu haswaaa
Je kwa kizazi cha sasa watoto, watu wanafundishwa masuala haya ?
Ova
Hiyo sio hoja hapa Maana unaweza ukawa na Mke au Mume lkn kutokana na mazingira ya kazi mwingine anafanya kazi mkoa A na mwingine mkoa C, kama unavyojua Kwa sasa mambo yalivyo, Muhimu sekta ya afya iongeze wataalam mpk ngazi ya chini pamoja na vifaa tiba Muhimu hasa ukizingatia magonjwa haya yasiyoambukiza yamekuwa na changamoto kubwa sana.Naunga mkono Hoja, lkn je Le Mutuz alikuwa na mke? Kama alikuwa hana mke namna ya kifo chake kilivyotokea ni sahihi kabsa.
Tozo za kwenda kuhonga Vimada?Wewe ukishakuwa na tatizo la Moyo issue ya kufa ni sekunde au wewe ukishasikia nani amepona magonjwa ya Moyo?
Kama Miaka ya karibuni ndio serikali walau imejenga emergency departments kwenye hospital za Wilaya na Mkoa Zenye vifaa sembuse huko chini kwenye Vituo vya Afya?
Mkiambiwa lipeni tozo Serikali iwekeze kwenye Afya mkasema walamba asali wanakula Sasa ngoja Kila mtu apambane na Afya yake.
Pesa zipi? Punguza ujinga basiHata ukisema hivyo kwani ndio Huduma zitaimarika? Kinachoimarisha Huduma ni pesa sio hadithi nyiiiongi,hakuna mjomba wa kukuletea maendelea yako.