Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

Pale karibu na nyumbani kwake kuna hospital mbili kubwa
Apolo na Hindumandal
Tena ni karibu kuliko Mnazi Mmoja!
Hao majirani au whoever they are didn’t think at all!
Mgonjwa wa moyo una mpeleka mnazi mmoja, that’s absurd walahi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Angalau wenzetu wana ile mtu kazidiwa unapiga ile namba ya emergency wanakuuliza amepatwa na nini unaeleza wanakupa tips za kufanya ukiendelea kusubiri huduma ya kupelekwa hospitali.
Sisi huku hatuna na wala hatujui.
Serikali na wadau wa elimu wangeingiza hii watu wajifunze mashuleni kama somo la huduma ya kwanza angalau tuwe na tips chache za kusaidia mpaka nchi itakapokuwa na uwezo kama wenzetu.
Kabisa
 
Waafrica tulikwisha kata tamaa ya maisha kwa sababu ya ujinga na umaskini. Kufariki dunia ni natural, Ila ni wajibu wa binadamu kukichelewesha kifo.

Vifo vingi vinavyotupata Watz, vinatupata prematurely na Vinaweza kuzuiwa.

Kama ni ujinga na umaskini ni wa kwako na familia yako walahi, hayo maneno sio kweli ila kwa sababu wewe ni mjinga na maskini wengine wengi hatuko hivyo na bado kuna specialist ambao wana gundundua vifaa vingi vya technology ili kumwezesha mwanadamu katika shughuli zake.
Aisee hiyo laana uibebe mwenyewe na family yako!
Na kama hujui kuwa mdomo unaumba endelea kuhara hayo maneno yako walahi!
 
Yah,kwa tuliyopitia ubaharia na kuwa sehemu fulani fulani hii kitu tumefundishwa sana
Na tunaimudu haswaaa
Je kwa kizazi cha sasa watoto, watu wanafundishwa masuala haya ?

Ova
Huduma za kwanza zinafundishwa shule ya msingi sema watoto hawazingatii ni mchezo mwingi na hata form one somo la Biology ila wengi wanakuwa hawaelewi muda huo wanakremu tu
 
nazani taratibu za hospital zetu zina hitajika Kua na utaratibu tofauti na ilivyo sasa namna ya ku pokea wagonjwa kwa hospital karibu zote mgonjwa anachukua zaidi dakika 30 mpk dkk 60 mgonjwa Khanna kupatiwa matibabu
 
Duuuh! kwa aina yako ya ulivyojibu,hakika matukio mengi hasa ya vifo,yangekua yanaachwa tu,bila ya kutatua changamoto zilizopelekea vifo husika,na badala yake ingekua inasemwa siku zimefika,na blah blah nyingi.
 
Naunga mkono Hoja, lkn je Le Mutuz alikuwa na mke? Kama alikuwa hana mke namna ya kifo chake kilivyotokea ni sahihi kabsa.
Hiyo sio hoja hapa Maana unaweza ukawa na Mke au Mume lkn kutokana na mazingira ya kazi mwingine anafanya kazi mkoa A na mwingine mkoa C, kama unavyojua Kwa sasa mambo yalivyo, Muhimu sekta ya afya iongeze wataalam mpk ngazi ya chini pamoja na vifaa tiba Muhimu hasa ukizingatia magonjwa haya yasiyoambukiza yamekuwa na changamoto kubwa sana.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Wewe ukishakuwa na tatizo la Moyo issue ya kufa ni sekunde au wewe ukishasikia nani amepona magonjwa ya Moyo?

Kama Miaka ya karibuni ndio serikali walau imejenga emergency departments kwenye hospital za Wilaya na Mkoa Zenye vifaa sembuse huko chini kwenye Vituo vya Afya?

Mkiambiwa lipeni tozo Serikali iwekeze kwenye Afya mkasema walamba asali wanakula Sasa ngoja Kila mtu apambane na Afya yake.
Tozo za kwenda kuhonga Vimada?
 
Wenye matatizo ya moyo Tanzania ni wachache sana kulinganisha na nchi zilizoendelea ndio.maana serikali haiwekezi sana hilo.eneo
 
Back
Top Bottom