Jamaa anajua kujitangaza na kujibrand kwa specific business anayofanya.
Nilikuwa simuelewi sana mwanzoni,but nimekuja kuanza kumwelewa. its all abt marketing and publicity .
Na kwa revenue stream yake ya sijui bloging na matangazo nadhan yupo sahihi. Huwezi kutangaza Club kwa mbinu zile zile utakazo tumia kutangaza Church,utapotea, so nadhan jamaa kafanya segment ya kile anachotaka na watu anaowataka na kawapata na ndo maana kuna alot of threads humu ndan abt him na siyo mtu mwingine au mzee mwingine japo kuna wazee wengi sana wanaofanya zaid yake tofaut ni kwamba yeye anafanya in the name of publicity which is then converted into money.
Ni vile tu my current clients na potentials clients wengi ni wa mrengo tofaut bt amin amin nakwambia kuna baadhi ya biashara hapa bongo ambazo ili ufanikiwe na uwafikie wateja wengi zaid lazima uconsider kuwatumia watu kama akina Le- Mutuz.
Hayo yote yapo ktk jina la Capitalism.