Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Haya maisha acheni tu jamani. Huyu ndugu alikuwa na mategemeo ya maisha mazuri sana toka udoggoni, baba yake walivyomchinjia kwenye maji ndoto zote zikageuka za alinacha. Frustration zimemfanya awe mtu wa kujishtukia, maisha anayotaka ajioneshe nayo mbele za jamii siyo size yake, mwisho wa siku anabaki kupiga picha na watu maarufu, kupiga picha na vitu vya watu, kuvaa vichenicheni na mambo kama hayo ili aonekane yuko daraja fulani kumbe hakuna lolote! Sasa mwanaume unakimbilia kwenye sitini upoupo tu kama kijana wa miaka 20, kuoa siyo lazima lakini wanawake wanapokukimbia wakati vikao vya harusi vimeshaanza ujue kuna jambo!
[video]https://youtu.be/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A[/video]
[video]<iframe width="640" height="390" src="https://www.youtube.com/embed/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>[/video]

Hapo kwenye red inabidi rafik zangu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=141128" target="_blank">warumi</a></b> na <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=193860" target="_blank">Dinazarde</a></b> waje kutoa ushauri maana si jambo la kawaida
 
Kiporo haswaa na sijui kama hela ya kusupport wanae bado anatuma huko mbelez.

Muwache afanye supplimentary. Wabebbz wa ukweeeh wanamrushia tu ma ai lavuu yuu kibao.

Hichi kikao cha harusi alishasema ilikuwa fanfa kuattract attention kama mbinu ya biashara.
Kumbeeee....sikuwa najua ni mtaliki
 
Duh!!!

Hata hivyo akili ya huyu jamaa sijajua kama ina kasoro au ndio ipo mbele kutuzidi...

Ni aina ile ya watu ambao akiwepo kwenye familia basi karibia kila mtu humuonea huruma...

Kiporo haswaa na sijui kama hela ya kusupport wanae bado anatuma huko mbelez.

Muwache afanye supplimentary. Wabebbz wa ukweeeh wanamrushia tu ma ai lavuu yuu kibao.

Hichi kikao cha harusi alishasema ilikuwa fanfa kuattract attention kama mbinu ya biashara.
 
baada ya kifo cha marehemu kapteni Komba,Le mutuzi alitoa tamko kuwa amejifunza kitu,nacho ni kufanya mazoezi kupunguza mwili ili kuepuka presha,sasa hivi yuko anafanya zoezi kupunguza mwili,hivyo akipungua msimsingizie ngomaaa

Ha haa.Nampongeza kwa hilo.Atapendeza sana.Namtakia kila la heri na akaze buti tu.
 
I actually adimire him. Amepata namna ya kuishi kirahisi sana. He is fooling around kusurvive. Bila hiyo akili yake mbovu asingesurvive aisee.

Ulishaona wapi mtu kapanga nyumba, halafu anakaribisha watu house warming party na kiingilio cha sh laki 5?
Duh!!!

Hata hivyo akili ya huyu jamaa sijajua kama ina kasoro au ndio ipo mbele kutuzidi...

Ni aina ile ya watu ambao akiwepo kwenye familia basi karibia kila mtu humuonea huruma...
 
Ndio maana nakuambia akili yake inamfaa. Nimejiuliza motivation ya mimi kwenda ni nini? Kama sio networking ya (wanaume wa mjini ama?).

Najiuliza tu akili yangu ijiongeze hahaha. Labda inakuwa kama faida ya kuhudhuria launching ya ripoti ya esrf hivi ama hakielimu?
sasa hiyo ni party au harambee ya kodi
 
Subiri aje asikie haya maneno yenu

Duh!!!

Hata hivyo akili ya huyu jamaa sijajua kama ina kasoro au ndio ipo mbele kutuzidi...

Ni aina ile ya watu ambao akiwepo kwenye familia basi karibia kila mtu humuonea huruma...
 
I actually adimire him. Amepata namna ya kuishi kirahisi sana. He is fooling around kusurvive. Bila hiyo akili yake mbovu asingesurvive aisee.

Ulishaona wapi mtu kapanga nyumba, halafu anakaribisha watu house warming party na kiingilio cha sh laki 5?

Amepandisha ni milioni moja
 
Watu wengine bwana? Sasa Le Mutuz kama hajaoa mpaka leo wewe inakupunguzia nini? Hata akioa wewe itakusaidia nini?
Mwenyewe ameshatoa tamko kwanini hajaoa mpaka leo na kwangu mimi naheshimu uamuzi wake.Anajua anachokifanya,hawezi kuoa kuufurahisha umma huku ndani kwake hakukaliki.
 
Mzee wa matamko hakualikwa na super friend Mengi na mbebiz wa ukweli klyn kwenye harusi Mauritius? ???????

Hata nafasi ya kutoa le tamko kwenye le super blog ya king of all social media hakupata????

Teh Teh uknw boss utafungwaaa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom