Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Hahhaha you know loya syiba kraimu inasema "intentionally intended" sasa mpaka babu approve sio kazi ndogo

Teh Teh lemutuz atawapeleka wengi mahakamani.... halafu sidhani kama wataweza kucontrol na kuingilia mawasiliano ya facebook,twitter na instagram...
 
Watu wengine bwana? Sasa Le Mutuz kama hajaoa mpaka leo wewe inakupunguzia nini? Hata akioa wewe itakusaidia nini?
Mwenyewe ameshatoa tamko kwanini hajaoa mpaka leo na kwangu mimi naheshimu uamuzi wake.Anajua anachokifanya,hawezi kuoa kuufurahisha umma huku ndani kwake hakukaliki.
hahahaha
Uknw leumemez
 
Hivi ni vifaa gani vilivyoletwa vya kufanya kuwakamata watu watakaovunja sheria

Ni ngumu kwa Insta,fb na twitter lakini kwa blog za kibongo na Jf wataweza kucontrol au kuzifunga zikienda kinyume na sheria..wamiliki wa insta,fb na twitter hawawezi kutoa data za wateja wao na ni ngumu kuwabana hata wakiingilia mawasiliano ya wateja wao hiyo itakuwa ni case kubwa sana na ni mgogoro...
 
Eeeeh???
 
page ya sita bado?mbona sijamuona kubwa jinga le mburulaz akipangua hoja?!!
 
Huyu jamaa at that Age hakuwa ameoa??? Hongera rafiki zake billionaires kwa kufanikisha harusi yake...! Ngojea nianze kumsumbua babu mzee malecela ili niweze pata kadi ya mualiko!
 
I actually adimire him. Amepata namna ya kuishi kirahisi sana. He is fooling around kusurvive. Bila hiyo akili yake mbovu asingesurvive aisee.

Ulishaona wapi mtu kapanga nyumba, halafu anakaribisha watu house warming party na kiingilio cha sh laki 5?

Duh...napita tu mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom