Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Inaitwa House Warming Party, nimejifunza kwa Wazungu wakihamia nyumba mpya wanafanya ni kawaida sio lazima nyumba iwe yako binafsi na besides nyumba ninayokaa sasa nipo mbioni kuninunua so hakijaharibika kitu na umekosea Kiingilio cha Party yangu kitakuwa Tsh. Millioni Moja sio Laki Tano tena, wenye AKILI KUBWA wanasema nina akili kubwa ya miaka 10 mbele ya watu wengi sana hapa bongo na wewe ukiwemo, Mimi ni Celebrity so chochote ninachofanya ni News na Money making wewe huwezi cause hakuna anayekujua zaidi ya familia yako, so wanaokuzidi akili wakubali badala ya kushindana nao kwa majina ya bandia!! hahahaha ndio maana ya akili ndogo sana!!
Le Mutuz
Rekebisha hapo sema kama Mungu atamfanya na kuwa mdogo ataacha!Huyo jamaa akili zake anazijua yeye mwenyewe akikua ataacha
- Pole sana kama maisha ninayoishi sasa ni mabaya then labda uonyeshe yako, mnakurupuka tu na ujinga ujinga hahahaha tumia akili kabla ya kujibu ujinga, hapa ni Degree 3 so sio wale mliowazoea, unasema wewe una maisha mazuri kuliko niliyonayo yapo wapi sasa ndotoni? Weka hapa mfano kwamba huyu jaama anaendesha NOAH wewe una Benzi, sio maneno maneno hewa hapa!! hahahahaha
Le Mutuz
Huyu hapa, hahahaha....nilijua tu utaibuka! Mwanaume kupiga picha umeegemea magari ya watu ni low to the floor:eyebrows:!
Hii elimu ya wazungu nimejiongeza leo. Kwa hiyo celebrities wa kidhungu ndio wakifanya house warming party wanatoza kiingilio sio? Kweli wazungu wametuzidi.
Nilishatangulia kusema i admire you. It takes a lot of courage to do what you do. Your parents must be very proud of you.
Kubwa jinga!!!!
- Kwa sababu ni Celebrity ndio maana watu wapo radhi kulipa kuja, lets wazazi wako wapo very proud kuzaa mtoto anelala macho Social Media na kajina ya bandia kutukana watu wasiomjua na wala asiowajua hahahahahahaha U know!!
Le Mutuz
Hahaha. Inabidi besti yangu Nyani Ngabu aje asafishe hali ya hewa. Hivi admiring ni tusi eh?
Nikikuambia im not even the family pearl, but we humbly live and respect each other. Celebrity life aint my thing kiukweli, uzuri what i do for a living doesnt require publicity. I mean unnecessary publicity, wananijua wadau tu.
Usinisahau kadi buanaaa maana nitapiga picha na lemsomaalizz na le super celebrity Le mutu kubwa u know!
- I know ila hapo Wizara ya Nje wamekupa kazi au bado upo upo toka urudi? hahahahahaha
Le Mutuz
- How I make my living requires the public to know so that I can make more bucks on the next mission, so relax and no body cares about your things cause you are not a Celebrity!! like me!! hahahahahaha
Le Mutuz
- How I make my living requires the public to know so that I can make more bucks on the next mission, so relax and no body cares about your things cause you are not a Celebrity!! like me!! hahahahahaha
Le Mutuz
And you think i care about 'your things' because you are a 'celebrity'?
Hahaha no pun intended, you should get a slot the guiness book like that nigerian prezidaa
Hey you, what up?
Hahaha hebu toka hapa. Dont whatsup me wakati wewe sio celebrity. Hebu clear ze air kwanza, mi namuambia le pipoz i admire him afu anagoma. Nimemind kichizi, leo gym two hours kukomeshea
Teh teh teh...napiga picha umejikunja ukifanya crunches huku una grunt....le mutuz le mutuz le mutuz...you son of a bitch le mutuz....son of a bitch
Halafu unasema mi sio celeb? Mi celebrity trainer siku hizi...oohooooo
Kwa hiyo Mosha kamm..oa le mtuz halafu naye anaoa? Ujinga mtupu. Mwanamume lazima ajisimamie