Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
im gonna do 100 extra crunches for le mutuz hakyamama. And you aint no celeb trainer lest i fit this bum into lupita nyong'o's white maxi dress aliyochukua nayo award. You heard!

- On my way to Double Tree Hilton Hotel Masaki for Dinner business meeting later!!

Le Mutuz
 
Some of us ar not celebrities but we go to double tree for a casual dinner. Trust me, coral beach, sea cliff and double tree ni sehemu za kawaida kabisa and not such a big deal. Tunahold trainings ama meetings hadi tunachoka menu zao.

For a weekend sleep over just to recharge the batteries with hubby tunaendabali kidogo huko nungwi shamba pia kuna hilton double tree. Hongera kwa kikao, dont forget to eat healthy

- Kama unaofanyiwa mpaka kujipa ID ya mbwa hahahahahahaa

Le Mutuz

Sure mkuu achana na hizo habari za usodoma ni laana kwako. Mrudie muumba wako kabla hazijaja siku za hatari kwako ukasema "sifai kitu" muda bado upo hujachelewa!!!
 
- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha

Le Mutuz

Duuuh kumbe
 
- Kaka lazima utakuwa umeolewa kwanza ndio maana unaweza kusema maneno kama haya, duh sikutegemea mtu kama wewe mwanaume unaweza kuwa umeolewa duh! hahahahahah

Le Mutuz

Hello brother Will! Take it easy mambo ya JF haya! Usichukie.
 
Mmmmh ile nyumba ya mama yako???
Pale ndio imejengwa???
Kweli una akili kubwa kushinda yangu

Hahahahahahsh king of all social media.......

Duuuh jamaaa n hatareee ile nyumba imejengwa upya cjui ni macho yangu hayaoni vizuri.kweli jamaa mwili mkubwa n akili kubwa
 
King'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????

Some of us ar not celebrities but we go to double tree for a casual dinner. Trust me, coral beach, sea cliff and double tree ni sehemu za kawaida kabisa and not such a big deal. Tunahold trainings ama meetings hadi tunachoka menu zao.

For a weekend sleep over just to recharge the batteries with hubby tunaendabali kidogo huko nungwi shamba pia kuna hilton double tree. Hongera kwa kikao, dont forget to eat healthy

Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda
 
Last edited by a moderator:
- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha

Le Mutuz

Daaahh kweli akili kubwa kusaidiwa kujengewa nyumba ya mamako akirudi anakuja kukujengea yakwako😕😕
 
king'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????

Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... Kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda

Hahahahaha huku unatamba kwa kusaidiwa
 
Last edited by a moderator:
Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.

Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?
King'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????

Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda
 
Last edited by a moderator:
Bora aposti picha za bandarini...wajukuu watajua babu akishapiga picha na wabebzz wakali anaenda kusaka "ubilionea " wa uzeeni

Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.

Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?
 
Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.

Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?

Huko usa nani ampe ofa y dinner ndio mana anakuambia bongo tambararezzz anaishi kwa hisani z mteremko istoshe vya bure hunenepesha sana ndio mana unaona ana mwili jumba,anatumia elimu yke ya degree 3 kwa offer n kujuana n matajiri
 
Daaahh kweli akili kubwa kusaidiwa kujengewa nyumba ya mamako akirudi anakuja kukujengea yakwako😕😕

Huyu baba yangu anaishi kwa hisani ya degree 3 ana maakili mengi ila maisha yake hayana tofauti na std 7.hebu niambie ile nyumba imejengwa upya au macho yangu sioni vizuri.kweli mbaba unakuja na uwongo kua umemjengea nyumba maza kutafuta sifa z kich...pi
 
King'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????

Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda

- hahaha ok so mkuu unanilipia maisha yangu hapa mjini au? hahahaha

Le Mutuz
 
Huyu baba yangu anaishi kwa hisani ya degree 3 ana maakili mengi ila maisha yake hayana tofauti na std 7.hebu niambie ile nyumba imejengwa upya au macho yangu sioni vizuri.kweli mbaba unakuja na uwongo kua umemjengea nyumba maza kutafuta sifa z kich...pi

- Ungeweka ya mama yako kwanza na ya kwako ndio ingekuwa powa au? hahahahahaha yaani kuna Standard 7 hapa mjini ana apartment downtown, ana ofisi downotown na ana apartment Changombe na nyumba na shamba la eka tani Kinyerezi unasema wapo hapa mjini Std. 7 labda wewe kama kweli hahahahahaha

Le Mutuz
 
Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.

Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?

- Ndio maana ya Big Celebrity unani follow kila mahali mimi wala sikujui hahahahaha utaendelea kunifollow tu all your life ok!! saafi sana

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom