Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Nndo nani huuuyou (in Zembwelas voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume hawezi kujiita bikra,jamaa atakuwa na uwalakini.So mkuu huyo jamaa ni gay au. Na nini maana ya kujiita bikira kwa mwanaume
Unaposema the kid is smart,a kid is a star,kweli lemutuz ni kid?
Le kubwa babu lemutuz limewahi kunywa sumu enzi ya ujana wake sababu ya mwanamke bado likajisifu haha kweli hili babu jinga.
Duuuh babu alikunywa sumu?kisa mabebezzz ndio mana anapiga mapicha kupunguza maumivu le mbululuzzz unaitwa huku njoo ujibu tuhuma hii
Ze le mutuz the kid...mmh
lini hiyo...ningelia hadi nkazimia you know nampenda le mutuz ha ha haBabu alitaka jirestisha in hell akaokolewa kisa mbebezzzz
lini hiyo...ningelia hadi nkazimia you know nampenda le mutuz ha ha ha
Soma page hii kuanzia mwanzo utaona le mbebezzz alitaka kujiua
Jamani mbona mimi sijaona alikotaka kujiua?
Anza mwanzo msome case mtanga utaona habari babu