Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Le kubwa babu lemutuz limewahi kunywa sumu enzi ya ujana wake sababu ya mwanamke bado likajisifu haha kweli hili babu jinga.
 
Mbongo always ana mbwembwe sana hasa akishapata issue ya kumwingizia hela(hata kama ni ya kawaida)
Wale wote wanaomchallenge(whether fairly or not) wataambiwa ni maskini wa kutupwa as if muhusika ana income ya kutisha

But its just a mediocre level of thinking&analysing things
 
So mkuu huyo jamaa ni gay au. Na nini maana ya kujiita bikira kwa mwanaume
 
Le kubwa babu lemutuz limewahi kunywa sumu enzi ya ujana wake sababu ya mwanamke bado likajisifu haha kweli hili babu jinga.

Duuuh babu alikunywa sumu?kisa mabebezzz ndio mana anapiga mapicha kupunguza maumivu le mbululuzzz unaitwa huku njoo ujibu tuhuma hii
 
Duuuh babu alikunywa sumu?kisa mabebezzz ndio mana anapiga mapicha kupunguza maumivu le mbululuzzz unaitwa huku njoo ujibu tuhuma hii

Tena alivyokuwa mjinga amekunywa sumu halafu anajisifu kwa wenzake kwenye meli za sinota kama amefanya jambo kunywa sumu sababu alikuwa anampenda sana huyo demu wake haha ndio maana neema akaliacha hili jinga babu.
 
"Kijana mdogo msomi aliyetokea maisha ya wazazi wa kawaida"

Duh!! Mie hapo tu ndio pananitatiza, father alikuwa mixer waziri mkubwa kabisa halafu unatuambia wazaz maisha ya kawaida.. Sikuelew naomba urudie tena hapo mwalim.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom