barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sasa kama unakubali kuwa ana-hussle na maisha muache ale bata kivyake.
Comments nyingi ni Sour grapes if you ask me!
Comments nyingi ni Sour grapes if you ask me!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu huyu jamaa vitu anavofanya havifanani kabisa na umri wake..hustling zake sawa na appreciate lakini kwenye picha kama hizi noo
And yet, he call himself a "PUBLIC FIGURE"
Hahaha haya ngoja nipite tuu.Wivu
swissme
Wambie mkuu jinsi ya kujitanuaJamaa anajua kujitangaza na kujibrand kwa specific business anayofanya.
Nilikuwa simuelewi sana mwanzoni,but nimekuja kuanza kumwelewa. its all abt marketing and publicity .
Na kwa revenue stream yake ya sijui bloging na matangazo nadhan yupo sahihi. Huwezi kutangaza Club kwa mbinu zile zile utakazo tumia kutangaza Church,utapotea, so nadhan jamaa kafanya segment ya kile anachotaka na watu anaowataka na kawapata na ndo maana kuna alot of threads humu ndan abt him na siyo mtu mwingine au mzee mwingine japo kuna wazee wengi sana wanaofanya zaid yake tofaut ni kwamba yeye anafanya in the name of publicity which is then converted into money.
Ni vile tu my current clients na potentials clients wengi ni wa mrengo tofaut bt amin amin nakwambia kuna baadhi ya biashara hapa bongo ambazo ili ufanikiwe na uwafikie wateja wengi zaid lazima uconsider kuwatumia watu kama akina Le- Mutuz.
Hayo yote yapo ktk jina la Capitalism.
Huyu dada sijui kwa nini anamuonea wivu the big show.hawezi lingana nae kuanzia Elimu pesa matumizi na kila kitu.wewe nenda katembeze (nyembu) barHa ha ha alichelewa kuzijua mbunye,amezijulia ukubwani sasa zinamchanganya...