Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Tena alivyokuwa mjinga amekunywa sumu halafu anajisifu kwa wenzake kwenye meli za sinota kama amefanya jambo kunywa sumu sababu alikuwa anampenda sana huyo demu wake haha ndio maana neema akaliacha hili jinga babu.

- Hahahahaa hahahahahaha inanichekesha sana vipi uzushi umekuishia sasa? hahahahahahahahah utaugulia maumivu mpaka unaigia kaburini kudadeki ndio mjifunze kuchezea wanaume hahahahahahahaha Nilikupenda sasa yameisha utazusha lakini hutaniona tena hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Le kubwa babu lemutuz limewahi kunywa sumu enzi ya ujana wake sababu ya mwanamke bado likajisifu haha kweli hili babu jinga.

- hahahahahaha yote utazusha lakini hutaniona tena unazidi kunipa nguvu kwamba nilifanya jambo jema sana kukuwacha, hahahahahahaha unalo hahahah mimi nipo Bongo nakula maisha yangu The King Of All Bongo Social Media Network ni Bataz kwa mbele tu hahahahaha wewe lia lia huku hope watakusaidia hapa JF hahahahahahah

- Mama mtumzima Miaka 50 Watoto 2 utampata nani zaidi ya kuja kulia lia JF, hahahahaha labda umlipe mume wa mtu hahahahahaha unalo U know!!

Le Mutuz
 
- Well, sijui nia na madhumuni ya hii thread ila nafikiri kuna ujumbe umeusoma Instagram ndio umekupelekea kuja huku na kuanzisha this, hahahahaha smart move ila haibadilishi anything ukweli unabaki ulivyo na wewe unaujua sana hahahahaha U know!!

Le Mutuz
 
Nop sijasoma IG ila nilokua nasoma uzi kuhusu seth.... nikaona hizo sifa, nikahisi ilikua b4 hujaletewa madai ya kudhulumu..... so nikataka nijue msimamo wako kwa sasa
 
Nop sijasoma IG ila nilokua nasoma uzi kuhusu seth.... nikaona hizo sifa, nikahisi ilikua b4 hujaletewa madai ya kudhulumu..... so nikataka nijue msimamo wako kwa sasa

- Hapo mkuu nilikuwa GYM nakula zoezi na Super Star Baby Madaha U know karibu sana tufanye mazoezi kusudi tupunguze kuandika pumba huku JF kila kukicha ni more pumba, sawa napenda publicity mnayonipa ila sometimes inakuwa too much maana this thread is nothing but waste of time and space!!

- Topic yako na kudhulumu ni vitu viwili tofauti kabisa, nilisema na ninarudia tena kwamba nilifanya Tamasha la "The All White Party" ambalo mwanzoni nilitaka kumshirikisha huyo kijana mdogo lakini siku mbili kabla ya Tamasha nikaamua kutomshirikisha, Tamasha nililifanya kwa usimamizi mkubwa wa wadhamini wakubwa kama Serengeti Beer na Smart Talk ambao mambo yao yote yanafanyika kwa maandishi, so kama kuna mtu alidhulumiwa kwenye lile Tamasha anatakiwa kuonyesha maandishi mengine yote ni mazungumzo tu baada ya habari, vipi hao jamaa waliomtangaza wamemfukuza kazi na wao walimdhulumu au what? hahahahaha na kampuni zote zingine 10 alizowahi kufukuzwa kazi na wao walimdhulumu au ilikuwaje mkuu sana?

- Binadam anaweza kuficha anything lakini sio Tabia.

Le Mutuz
 
Nahisi umenielewa vibaya.. nilikua nataka nijue mtazamo wako juu ya ex patner wako after the so called "dhulumu"... thats all sikutaka unieleze kuhusu party,wadhamin,gym,wala sikuomba picha... anyways thanx kwa ukaribisho wa gym ntaufanyia kazi
 
- hahahahahaha umeona inavyokera kulazimishwa kujibu maswali ambayo hukuyaomba? hahahahahahah

Le Mutuz
 
Hahahhahahaa so kumbe hua unaombaga kullizwa maswali?? Hahahahha " KUNGURU MUOGA".. was just daring u to see kama una guts za kusema otherwise..

- HAHAHA watu kama wewe huwa nawaita AKILI NDOGO unajaribu kuchokonoa AKILI KUBWA hahahaha huyo kijana sasa hivi ameajiriwa na marafiki zangu wa karibu sana mimi si unajua siajiriwi NINAJIAJIRI mwenyewe, ndio maana nimekupa majibu niliyokupa maana ukweli upoo wazi kuliko uongo so relax man, hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Tena alivyokuwa mjinga amekunywa sumu halafu anajisifu kwa wenzake kwenye meli za sinota kama amefanya jambo kunywa sumu sababu alikuwa anampenda sana huyo demu wake haha ndio maana neema akaliacha hili jinga babu.

Vipi ule upepo fulani ulipita uko insta kila mtu le mutuz le mutuz naona watu hawana habari nae tena japo anazidi kuitumia nguvu nyingi sana azungumziwe, ule upepo uliondoka na nini? Au watu wamempuuza tu?
 
- Leo nimewachokonoa makusudi wameniongezea followers 1000 from 56k to 57k so nipo The King Of All Bongo Social Media Network nipo sana kama kawa U know that hahahaha leo nilikuwa kwenye Jamiiforums Media Seminar so relax nipo kama kawa!! hahahahaha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…