Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Le mutuz ndio nani? Hilo jina mbona halipo kwenye hii forum? Au ni ile forum ya kakakuona?
 
Hivi kuna mtu ana cv ya huyu sijui le mutuz...ebu leteni...
 

Wacha majungu wewe, mbona JPM ni chichiemu na hatetei tumbo lake tu? Huku mlikokaririshwa kwamba CCM ndio adui yenu kutawatokea puani.

Ni kweli sio wana-CCM wote Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Mutuz ni janga la taifa,Tunapaswa kuwa naye makini sana.La sivyo atadumbukiza vijana wengi kwenye mitazamo ya kijuha.
 
Ni kweli sio wana-CCM wote Wacha1
Lemutuz mnafki kuwadi na anaishi kwa kuwashobokea watu
Usishangae akipiga picha na mtu anayefanya biashara au shughuli haramu na kuanza kumsifiaaa. ..jamaa Lemutuz ana vielement vya usho---gaaz
 
Last edited by a moderator:
Uwezo wa kufikiri wa Le Mutuz unatia shaka.

Na hapo anafurahi kusikia/kuona anajadiliwa jf.
 
Nimeamini kuwa le mutuz ni mbinafsi, yaani anajua kabisa Mwaka ni fake ila kwa vile ndo anamuweka Mjini, inabidi le mutuz amtetee mwaka no matter what, le mutuz hafai kabisa
 
Uwezo wa kufikiri wa Le Mutuz unatia shaka.

Na hapo anafurahi kusikia/kuona anajadiliwa jf.

Ni kweli akija hapa badala ya kujibu hoja ataona hiyo ni credit.Sio kila aliyesajiliwa humu ni GT anyways!
 
Mzee wa zeutamu.....unalolote wewe kama siyo baba yako ulikuwaondoka....a desparate being and a very good opportunitist person only money matters to him.
 
Hizi siasa za matukio bado hamjaacha tu jaribuni kufikiria nje ya box. Inaonekana uzi wote huu umekereketwa na kitendo cha le mutuz kuwekwa katika kundi la mastaa , naona kabisa nawe unatamani kuwekwa kundi hilo
 
Unadhani mfumuliwa malinda ajausoma ukweli huo? Cha msingi sio kujibu...cha msingi the truth must be told...kutaja taja majina ya wanaume wenzako ni tabia za ushoga. Nimetimiza wajibu wangu kuusema ukweli huu.

Lugha zako tuu zinaonyesha kiwango chako cha elimu na ustaarabu kilivyo cha chini.
Labda nikukumbushe, upo kwenye jukwaa la great thinkers labda umepotea njia
 
Wewe nae fanya yako bana. Kutwa kutaja taja majina ya wanaume wenzako. Sasa unataka mabinti wafanye nini? Unataka jamii ikueleweje wewe!? Au mwenzetu sio riziki nini?

hivi wewe ni jinsia gani? na unaishi wapi?

pathetic
 
Le mutuz ni mtu mzima lakini hajielewi, anatetea ujinga ili mradi asidhalilike mjini.
 
Le mutuz ni mtu wa kulamba viatu vya watu.....

niliona hasa alivyokuwa anajikomba kwa Davis Mosha na Riz moko.
 
Una dola na mafisadi unashindwa kuwapeleka mahakamani na wafungwe.hapa tatizo ni UTAAHIRA wa kitanzania au?.nisaidie kunielewesha
 
Hizi siasa za matukio bado hamjaacha tu jaribuni kufikiria nje ya box. Inaonekana uzi wote huu umekereketwa na kitendo cha le mutuz kuwekwa katika kundi la mastaa , naona kabisa nawe unatamani kuwekwa kundi hilo

Duh!.........
 
Ben kwanini unapoteza muda kupigia mbuzi gitaa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…