babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
kwa hili nadhani limekaa kiwivu zaidi, chuki zako naona umeamua kuzipitishia kwa Le Mutuz kisa huwa anaenda kudowe vicent kwa Davis hii si stye nzuri ya kupakazia watu na hutapaswi kuishi hivi.Taarifa za uhalifu kwa vyombo vya dola mara nyingi zinatoka kwa raia wema. Napenda nigusie kitu kimoja, na kama kweli vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa weledi, basi walifuatilie hili swala kwa umakini.
Kuna mtu anayejiita Billionaire hapa mjini, na aliyekuwa mgombea Ubunge kule moshi kupitia CCM inabidi amulikwe vizuri. Kila mwezi, akisaidiwa na wapambe wake, mmoja anayejiita King of All Social Networks, LEMUTUZ uenda kule bandarini (kwenye meli) na kukaa karibia wiki nzima wakitoa Mafuta na kuyajaza kwenye malori . Mbaya zaidi LEMUTUZ anapiga picha na kuzitundika kwenye mitandao akijidai anakumbuka enzi zake za Ubaharia, hata kudiriki kuringa mitaani jinsi wanavyoiba mafuta.
Serikali iwafuatilie hawa self proclaimed mabillionaires. Je hizi mafuta wanazilipia kodi, na je wanazipata kwa mbinu gani? Sitaki kuongea mengi. Wananchi au raia wema wenye taarifa zaidi watazimwaga ummu jukwaani
Hilo kubwa jinga Le Mutuz ni bora watu wenye biashara zao walikwepe maana linapenda kutupia picha kwenye Mitandao hata Kama mtu anafanya biashara zake kwa mujibu wa taratibu si vizuri kumchafua kupitia Le Mutuz.le mutuz nae billionare
nyumba anayokaa analipiwa Kodi na Devis kweli ni mpambe wake lakini si mfanyakazi wake wala mfanyabiashara mwenzake.Anaishi kwenye le apartment le downtown u know
Mkuu kwa hili hata mie nimeona hizo ni chuki kubwa kwa Devis hatupaswi kuishi ktk uongo huu Watanzania tubadilike harakawatu wakitoa leads za kufanyia uchunguzi tusiruke na majibu "chuki binafsi" au "walikuwa wapi kusema mapema", wote mnajua tulikotoka, ungesema kwa nani akusikilize, cha msingi viachwe vyombo husika vifanye uchunguzi, kama watu wako clean watakuwa cleared tu,
Haya ni full majungu sana sana wanamfanyia promo Le Mutuz pasipo kujuaKama ushahid upo basi wachukuliwe hatua kali na stahiki,
Ila zaidi ya hapo thread imekaa kimajungu sana.
Nimecheka sana degree zumejitenga naeHuyu jamaa degree zake zimeshindw
a kumsaidia,zimejitenga nae
Hahahahahaha....kwa kumuiga tyu nakupa 100%√√√√siwezi kujibizana na mbururazz !!!! haaaa haaa !! u know im humbled#lemutuz#.