Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
K
Taarifa za uhalifu kwa vyombo vya dola mara nyingi zinatoka kwa raia wema. Napenda nigusie kitu kimoja, na kama kweli vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa weledi, basi walifuatilie hili swala kwa umakini.

Kuna mtu anayejiita Billionaire hapa mjini, na aliyekuwa mgombea Ubunge kule moshi kupitia CCM inabidi amulikwe vizuri. Kila mwezi, akisaidiwa na wapambe wake, mmoja anayejiita King of All Social Networks, LEMUTUZ uenda kule bandarini (kwenye meli) na kukaa karibia wiki nzima wakitoa Mafuta na kuyajaza kwenye malori . Mbaya zaidi LEMUTUZ anapiga picha na kuzitundika kwenye mitandao akijidai anakumbuka enzi zake za Ubaharia, hata kudiriki kuringa mitaani jinsi wanavyoiba mafuta.

Serikali iwafuatilie hawa self proclaimed mabillionaires. Je hizi mafuta wanazilipia kodi, na je wanazipata kwa mbinu gani? Sitaki kuongea mengi. Wananchi au raia wema wenye taarifa zaidi watazimwaga ummu jukwaani
kwa hili nadhani limekaa kiwivu zaidi, chuki zako naona umeamua kuzipitishia kwa Le Mutuz kisa huwa anaenda kudowe vicent kwa Davis hii si stye nzuri ya kupakazia watu na hutapaswi kuishi hivi.
 
le mutuz nae billionare
Hilo kubwa jinga Le Mutuz ni bora watu wenye biashara zao walikwepe maana linapenda kutupia picha kwenye Mitandao hata Kama mtu anafanya biashara zake kwa mujibu wa taratibu si vizuri kumchafua kupitia Le Mutuz.
 
M
watu wakitoa leads za kufanyia uchunguzi tusiruke na majibu "chuki binafsi" au "walikuwa wapi kusema mapema", wote mnajua tulikotoka, ungesema kwa nani akusikilize, cha msingi viachwe vyombo husika vifanye uchunguzi, kama watu wako clean watakuwa cleared tu,
Mkuu kwa hili hata mie nimeona hizo ni chuki kubwa kwa Devis hatupaswi kuishi ktk uongo huu Watanzania tubadilike haraka
 
Siti zote mbili kaenea mwenyewe... itakuwa kakatia siti zote...
 
Achen majungu na wivu Watoto wa kiume
Tafuta na we status yako au hela, Acha ku deal na vitu vya kijinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom