Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
acha mbwembwe wewe mzeyaziii.. mbona michuzi hafungamani na media....
 
Kaka umetisha wanakusengenya huku na umewaibukia sasa waongee kingine le akili kubwazzz
 
hahhaas namkubali sana @W.J.Malecela
 
Haaaaaahaaaaaaaa jamaaa nakukubali umegeuza haters kuwa fans wako u know!!!
 
H
HaHahahah.....le mbebez bhana
 
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.

Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
Kujulikana raha sana unapiga hela kilaiini
 
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.

Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
Kwa kuwa yeye ndio mzee pekee ambaye anahangaika na social network mpaka sasa ukilinganisha na wazee wa umri wake
 
HAHAHA WABONGO BHANA.... ALIJIPA ILI NINI SASA??? KWA HIYO NDO AMEDHANI TUTAMSUJUDIA KAMA MFALMEEE??? KWANZA CHOKO TUUUU YULE..... MBONA BLOGGERS WENGINE WASTAARABU NA WANAJIELEWAAA??

- Choko huwa wepesi sana kujisema wenyewe bila kuulizwa hahahahaha kumbe ndio mambo yako hayo? Sasa hapa nani kakuuliza? hahahahahahah

le Mutuz
 
Kwa kuwa yeye ndio mzee pekee ambaye anahangaika na social network mpaka sasa ukilinganisha na wazee wa umri wake

- Kumbe hela zina umri ukifikia umri fulani hutakiwi kutafuta pesa? hahahahahahahah

- Hii ni jana at Batazzzz batannn na le mbebez wewe piga kelele sisi tunakula batazzz

le Mutuz
 
- Kumbe hela zina umri ukifikia umri fulani hutakiwi kutafuta pesa? hahahahahahahah

- Hii ni jana at Batazzzz batannn na le mbebez wewe piga kelele sisi tunakula batazzz

le Mutuz
hivi unaoa lini lemutuz?? umri unaenda ujue, utapiga picha na mademu za watu mpaka lini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…